Mwanaume kukaa bila mwanamke anatoboa vizuri ila mwanamke hawezi ata iweje
Balaka ❎Kuzaliwa mwanaume ni balaka kubwa sana inabidi umepewa thamani kubwa sana umepewa hazi ya kiongozi umepewa hazi ya mamlaka
So far so good kaeleweka😅Balaka ❎
Baraka ✅
So far so good kaeleweka😅
Kwa uandishi huu mmmhKuzaliwa mwanaume ni balaka kubwa sana inabidi umepewa thamani kubwa sana umepewa hazi ya kiongozi umepewa hazi ya mamlaka
Mwanaume ata akikaa siku tatu bila kuoga hanuki ila mwanamke siku 1 tu akishinda bila kuoga ni kimbembe
Mwanaume kukaa bila mwanamke anatoboa vizuri ila mwanamke hawezi ata iweje kuna majamaa ayajielewi yanalia kisa mademu
Mwanaume ni wa kipekee sana kuanzia tangu dunia inaumbwa mwanamke ni kaumbwa kwa mbavu kazaa tu za mwanaume yani ni theluthi tu
Kwanini umemrekebisha spelling kama ulikuwa umetambua kamaanisha niniHakuna niliposema hajaeleweka
Kwanini umemrekebisha spelling kama ulikuwa umetambua kamaanisha nini
Kwa uandishi huu mmmh
Bora sijawa mwanaume
Baba yako alikuwa na hizo pesa?,babu yako alikuwa na hizo pesa? au unaongea tuu?Thamani ya mwanaume ni awe na pesa tuu, tofauti na hvy n sawa na mzoga tuu.
Usiende mbali, angalia kwenye ukoo wenu, vile anavyoheshiwa mwenye pesa n tofaut na yule hohehahe
Haina haja ya wewe kuwa mwanaume,endelea kuwa mwanamke hivyohivyo na pia uendelee kumtii mwanaume wako .Kwa uandishi huu mmmh
Bora sijawa mwanaume
Ukisikia mtu kuwa na pesa Unaelewa nn?Baba yako alikuwa na hizo pesa?,babu yako alikuwa na hizo pesa? au unaongea tuu?
Ni mtu kuwa na uwezo mkubwa kiuchumiUkisikia mtu kuwa na pesa Unaelewa nn?
😁😁Kwamba mwanaume anaweza akakaa bila kufanya mapenzi akaishi lakini mwanamke hawezi?Mmh huu utafiti umeufanyia wapi au maskani kwenu apo na masela,kwanza tuanzie hapa kesi za ubakaji(wabakaji) hua ni wanawake au wanaume?
Hahaha kimoyo moyo kuna siku uli tamani kua mwanaume ila mwanaume kutamani kua mwanamke ni mental illnessKwa uandishi huu mmmh
Bora sijawa mwanaume