HOLY SKANKA
JF-Expert Member
- Dec 30, 2025
- 1,178
- 2,131
Maoni hayawezi kushtumiwa kuwa ni uongo ila na wewe unaleta Hoja zako, mmepoteza ada za wazazi wenu sasa ni ma single Maza hamna shughuli, ni hasira tu!
Kwamba mwanaume anaweza akakaa bila kufanya mapenzi akaishi lakini mwanamke hawezi?Mmh huu utafiti umeufanyia wapi au maskani kwenu apo na masela,kwanza tuanzie hapa kesi za ubakaji(wabakaji) hua ni wanawake au wanaume?
Ni mtu kuwa na pesa za kumudu mahitaji yake na wanaomzunguka kifedha.Ni mtu kuwa na uwezo mkubwa kiuchumi
Ni sawa, hata mimi najivunia kuzaliwa mwanaumeNje ya mada: Huwa nikitafakari kwa kina, namshukuru Mungu sana kuzaliwa Mwanaume. Najivunia tuu kuwa Mwanaume. Sina sababu ya msingi ila waga najivunia tuu.
Kwahiyo kumbe hawa wanaume wanaodai wanatoboa hata mwaka wanatupanga sio?Mleta mada nakupa hongera ila umedanganya kusema mwanaume anaweza kukaa muda mrefu bila tendo la ndoa kuzidi mwanamke, hili halipo.
Mwanamke anaweza kuvumilia hata miezi 6 ila mwanaume wiki 2 hutoboi
Ni waongo, hilo HALIWEZEKANI.Kwahiyo kumbe hawa wanaume wanaodai wanatoboa hata mwaka wanatupanga sio?
Na wewe umejuaje kama mwanamke anaweza kukaa miezi sita bila tendo?,ni nani alikwambia,au wewe ni mwanamke?Mleta mada nakupa hongera ila umedanganya kusema mwanaume anaweza kukaa muda mrefu bila tendo la ndoa kuzidi mwanamke, hili halipo.
Mwanamke anaweza kuvumilia hata miezi 6 ila mwanaume wiki 2 hutoboi
SawaNi mtu kuwa na pesa za kumudu mahitaji yake na wanaomzunguka kifedha.
Jinsia yako ni ipi? Una umri gani sasa?Na wewe umejuaje kama mwanamke anaweza kukaa miezi sita bila tendo?,ni nani alikwambia,au wewe ni mwanamke?
wale wa gerezan wanafanya mapenz na nani?Kwamba mwanaume anaweza akakaa bila kufanya mapenzi akaishi lakini mwanamke hawezi?Mmh huu utafiti umeufanyia wapi au maskani kwenu apo na masela,kwanza tuanzie hapa kesi za ubakaji(wabakaji) hua ni wanawake au wanaume?
Hivi ulishawahi kukaa gerezani? Ukiwa gerezani unawaza mapenzi?wale wa gerezan wanafanya mapenz na nani?
Hamjamwelewa shida mnawaza chini tu.Mleta mada nakupa hongera ila umedanganya kusema mwanaume anaweza kukaa muda mrefu bila tendo la ndoa kuzidi mwanamke, hili halipo.
Mwanamke anaweza kuvumilia hata miezi 6 ila mwanaume wiki 2 hutoboi
Hazi❎️Balaka ❎
Baraka ✅
Ukimwelewa wewe inatoshaHamjamwelewa shida mnawaza chini tu.