Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,817
- 14,925
SijalionaBinadamu tumebiwa tamaa. Nadhani utazunguka kote, lakini jibu la swali lako liko hapa.
Nyinyi makurumbembe mnapenda pesa mlishafanya makosa mnataka tusawazishe sisi mna watoto baba zao hawafahamiki! Twendeni hivohivo sisi tunabet kwa watoto wa shule na tulieni wamalize shule muone nani atashughulika na nyinyiLicha ya Sheria lakini bado tu hamkomi..
Wengine wengi wamefungwa.Ndio kubet ama vipi?
Kuna binti alikuwa anatafutwa kwao week nzima nyumbani haonekani Wala shuleni haonekani.
Wenzie wako kwenye maandallizi ya kufanya mtihani wao wa form four week ijayo.wakajua kapotea kumbe kafungiwa kinyumba Kwa boda hapohapo mtaani kamgeuza mkewe.
Kwa Hali kama hii atarajie Nini?
Hata kama binti kakukubali unashindwa kutumia akili?
Akifungwa atakuwa kaonewa?
Naona umeandika haya kama mvulana.hebu andika kama mwanaume mwenye binti/mdogo wako unayepambania apate elimu future yake iwe nzuri,wakati wenzie wanasoma masela wanamshawishi wanamfungia ndani na kumgeuza mke.Nyinyi makurumbembe mnapenda pesa mlishafanya makosa mnataka tusawazishe sisi mna watoto baba zao hawafahamiki! Twendeni hivohivo sisi tunabet kwa watoto wa shule na tulieni wamalize shule muone nani atashughulika na nyinyi
😒😒Binti na yeye afungwe kwani hakujua kama anafanya kosa???
Sirikali si iamue tu wasome na kuolewa mambo yaishe🤷🏿♂️
Zamani haya majambo yaliwezekanaje ila kwasasa yashindikane????
Hii kitu hii kitu hii kitu hii - Dudu la yuyu.Licha ya Sheria lakini bado tu hamkomi..
Wengine wengi wamefungwa.Ndio kubet ama vipi?
Kuna binti alikuwa anatafutwa kwao week nzima nyumbani haonekani Wala shuleni haonekani.
Wenzie wako kwenye maandallizi ya kufanya mtihani wao wa form four week ijayo.wakajua kapotea kumbe kafungiwa kinyumba Kwa boda hapohapo mtaani kamgeuza mkewe.
Kwa Hali kama hii atarajie Nini?
Hata kama binti kakukubali unashindwa kutumia akili?
Akifungwa atakuwa kaonewa?
Wewe si mwanamke kweli na una huruma nenda kwa yule jamaa kafungiwe wewe ili mtoto aende shule hapo sasa ndio nimeongea kama mwanaumeNaona umeandika haya kama mvulana.hebu andika kama mwanaume mwenye binti/mdogo wako unayepambania apate elimu future yake iwe nzuri,wakati wenzie wanasoma masela wanamshawishi wanamfungia ndani na kumgeuza mke.
Anza upya.
Ni nzuri ila inahitaji uzicontrol sio zikucontrolNYEGE ni mbaya sana
Ninyi si mnatukataaMwenzenu manfongo alieimbaga hainaga ushemeji saizi yupo jela
Wanafunzi!
Hamuoni watu wa Rika lenu?
Hamuwezi basi hata kuwasubiri wamalize shule?
Hamuwezi kuvumilia?
Unazijua vizuriNi nzuri ila inahitaji uzicontrol sio zikucontrol
Ningefanyaje😄Ata ungekua wewe