Mwanaume, Nini kinachangia utembee na mwanafunzi, tena under 18?

Mwanafunzi tena under 18, nini kinachangia utembee na mwanaume? Licha ya sheria lakini bado hamkomi. Wengine wamepoteza nafasi ya kusoma

Binti anatoka kwao, anaenda kufungiwa wiki nzima, tena kipindi wenzake wanajiandaa kufanya mitihani. Nyumbani wanaangika kumtafuta.

Hapo binti atarajie nini?
Hata kama mwanaume kakutongoza, unashindwa kutumia akili?

Akitiwa mimba, akafukuzwa shule, atakuwa kaonewa?
 
Hapana hajaonewa
Kila upande utabeba changamoto zake
 
Mimi naona msichana huwa naye anakuwa katika heat kubwa sana kipindi hicho, so kuanzia miaka hiyo 18 mpk 16 anaweza kuchapwa bila hata yeye mwenyewe kujitambua
 
maboda boda ni majinga sana
 
Ukishaanza kutamani tu skirt za shule basi ujue jela inakuita,na wanafunz walivyokua wepesi akibebwa tu bule kwny piki piki,akasifiwa na akanunuliwa soda tu ya 500 ataogopa mimba tu,mengine hayo muachie yeye atajua adanganye vipi nyumbani.
 
Mnapenda vitu vya bei nafuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…