Mwanaume perfume hizi ni mzuri sana kwako

Kuna marashi ya kiarabu nililetewa kutoka Zanzibar, niliyapenda sana. Yanaitwa sijui Mousouf sina hakika na jina, ni mazuri sana!
 
Mi natumia cha kupima hakina jina il kina namba 212 (two one two) ni balaa harufu yake kwenye watu 500 wanasika wote
 
kwhy mkubwa mtoa mada anapulizia kitu fake
Yeye pia amekiri hivyo
Maana Original kama bei zake ni hizo, hata iweje huwezi kupata punguzo kwa 95% au zaidi kisa tu zinauzwa nchi masikini

Bei za perfume zipo juu sana siku hizi
Ila fake nazo zipo sana huko
 
Nomaaa
 
Sitii neno hapa. But mzigo ni huu hapa.
 

Attachments

  • IMG_2754.jpeg
    650.2 KB · Views: 32
Sio wote wenye uwezo wa kutumia hiyo kaka
Kama mimi natumia kasablanka siwezi junua zaidi ya bei ya hapo
 
Yaan alikalili haruf kiasi kwamba nikiwa niko mbali ana waambia wenzie fulan ana kuja nikawa najaa kichwaa kuja kuambiwa ana majini nika kata mguu kufika
Perfume gani hiyo?
 
Sisi tunaotumia Bushra hatuweki neno wacha tupite kimya tu,mpaka kampuni ya bushra iache kutengeneza
 
Kwa aliyewahi tumia hiyo.

Na vipi bei yake
 

Attachments

  • PXL_20260408_160408102.jpg
    389.1 KB · Views: 18
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…