IIT MWASISI OS
JF-Expert Member
- Jan 26, 2023
- 3,737
- 3,301
Nitakuja
Ni Bvlgari Tygar X Refik Anadol...Unauza wapi? Sh ngapi?
Haujapigwa .umeuziwa inayolingana na pesa yakoBasi nimepigwa hapo nauziwa fake hii
Hawatupasui vichwa ni uelewa wetu tu wa bidhaa kabla ya Kununua..umeeleza vizuri...manukato yanatengenezwa kulingana na majira.Unajua huku tunatumia marashi kutegemea na hali ya hewa
Kama ni baridi kuna aina zake na kama ni joto kuna aina zake pia
Ila wengine huchanganya zote
Hii nilinunua wakati wa baridi na inanukia vizuri na inakaa hata siku mbili
Ila ukiitumia kwenye joto inafifia haraka
Wanatupasua vichwa tu
Hiyo ni Carolina Herrera 212...Kimeandikwa 212 v.i.p