Mwanaume perfume hizi ni mzuri sana kwako

Mwanaume perfume hizi ni mzuri sana kwako

Hapo sasa
Ila Wazungu nao wamezidi kwa bei zao huku
Mpaka wamefundisha na Waarabu biashara
Zamani Uarabuni unapita unabebe kwa bei rahisi na ni og
Ila sasa nao wanauza kama Ulaya tu
Wazungu washenzi sana mchina ashukuriwe
 
Wazungu washenzi sana mchina ashukuriwe
Hii Armani niliuziwa €80 Hamburg mwezi uliopita
siwezi kuvuka 100 hapana
IMG_0619.jpeg
 
Hii ina kaa kwenye nguo mda gani?
Unajua huku tunatumia marashi kutegemea na hali ya hewa
Kama ni baridi kuna aina zake na kama ni joto kuna aina zake pia
Ila wengine huchanganya zote

Hii nilinunua wakati wa baridi na inanukia vizuri na inakaa hata siku mbili
Ila ukiitumia kwenye joto inafifia haraka

Wanatupasua vichwa tu
 
Una rudi lini tukuagize
Unajua huku tunatumia marashi kutegemea na hali ya hewa
Kama ni baridi kuna aina zake na kama ni joto kuna aina zake pia
Ila wengine huchanganya zote

Hii nilinunua wakati wa baridi na inanukia vizuri na inakaa hata siku mbili
Ila ukiitumia kwenye joto inafifia haraka

Wanatupasua vichwa tu
 
Helll

Mwanaume mwenzangu ambaye bado ujajua perfume nzuri zitakazo kufanya uonekane mtanashat na kunukia vizuri wakati wote mimi natumia hizi mbili

Hii natumia kama sehemu ninako enda hakuna kusanyiko kubwa la watu wengi sana hii ndio natumia au safari za kawaida bei 50000
View attachment 3403558
Hii ya pili natumia kama sehemu niendayo kama kuna kusanyiko kubwa la watu yaani watu wengi kama vile harusini mikutanoni hii nasikika mwenyewe tu hii harufu yake kali na ina kaa mda mrefu sana so ukitumia hii unakuwa wa kipekee kabisa yaani perfume zingine hazitosikika itasikika yako tu bei yake kuanzia 50000 inategemea na duka
View attachment 3403560
Haya leteni perfume zingine ambazo zipo vizuri sana kwa mwanaume
Kuna perfume nilinunuaga inaitwa Prada.. ts laki moja... na Gucci
 
Back
Top Bottom