Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Mkuu kunukia sio shida, changamoto unacho jipulizia 🤣🤣Safi sana bwashee mimi japo ni mlevi ila napenda kunukia , acha mazinguzi mwenyekiti 🤣
Mkuu kunukia sio shida, changamoto unacho jipulizia 🤣🤣Safi sana bwashee mimi japo ni mlevi ila napenda kunukia , acha mazinguzi mwenyekiti 🤣
AiseeNauziwa 50k kwa mshikaji wangu fulan hapo ana niuzia kishkaji
Dah wapi uko wabongo wanatupiga af wana tuambia nakuuzia bure tuKwa muarabu ni 25,000 tu
Ila iyo laksaba siimudu 😂Aisee
Mara ya kwanza ulipoweka uzi wenyewe ulikuwa sio wa kunyamaza 😂😂 ila Mungu akakupa nguvu ya kunyamazaMkuu kwani hujaona niki sema Mungu nifundishe kunyamaza 😂 😂
Jf mnatukana sna ila kuwaka muhimu sana na pombe haunikosi bwashee 😅Mkuu kunukia sio shida, changamoto unacho jipulizia 🤣🤣
Mmm, naona hii Ina free delivery kiongozi. ..Angalia bei halafu mtu ananunua kila miezi miwili tofauti 😂😂View attachment 3403573
Perfumes miaka ya 80 nilikuwa nawaletea kama zawadi nikiwa nimetoka nje, na ndio zilikuwa zawadi za maana kwa washkaji.Ila iyo laksaba siimudu 😂
Aina maana kwamba kila kitu unajuaMara ya kwanza ulipoweka uzi wenyewe ulikuwa sio wa kunyamaza 😂😂 ila Mungu akakupa nguvu ya kunyamaza
Na hapa nyamaza tu maana mtu anauziwa og kwa 50k
Ngoja nije nihamishe hilo duka London 😂😂
Mimi starehe zangu kula, kuangalia movie, kusoma vitabu na kucheza game bwashee.Jf mnatukana sna ila kuwaka muhimu sana na pombe haunikosi bwashee 😅
NdiooNa sisi wauza mkaa tunapaswa kutumia?
HongeraPerfumes miaka ya 80 nilikuwa nawaletea kama zawadi nikiwa nimetoka nje, na ndio zilikuwa zawadi za maana kwa washkaji.
Ila sasa ni mwendo wa jeans za Polo na T-shirts tu
Sawa SawaZile hapana nunulia vijana boss
Mimi pombe mangiMimi starehe zangu kula, kuangalia movie, kusoma vitabu na kucheza game bwashee.
Pegasus original bei yake kama hiyo ni £148 kama laki nne na nusu ya bongo 😂
Ila kuna nyeupe yake 125ml ni zaid ya laki 7
Kwa bongo fake sijui
🤣🤣🤣 Umewaza nini?Mungu nifundishe kunyamaza
Sure bro nakubali saba perfume nzuriNipeni perfume ya kuanzia laki 2
Acha kukaa kinyonge brotherMungu nifundishe kunyamaza