Bodhichitta
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 446
- 982
Aslaam,
Kumekua na tafiti zinazoonyesha wanaume huishi umri mdogo zaidi ukilinganisha na wanawake.
na kumekuwa na sababu kadhaa zinazofanya mwanaume Awe na maisha madogo ya kuishi.
sababu Moja wapo ikiwemo stress nyingi zitokanazo na kubeba mzigo wa familia.
leo hii nataka nikupe hii kanuni itakayofanya wanaume tuishi umri sawa au zaidi ya wanawake, hii kanuni inaitwa 40%, 30%, 25%, 5% na 0%na hii inafanya kazi kama ifuatavyo:-
40%- hii maana yake ni kwamba katika maisha yako jijali wewe mwenyew Kwa asilimia arobaini Kwa maana kwamba kuwa mbinafsi 10% zaidi ya unavoijalia familia yako lakini 15% zaidi unavojali wazazi na ndugu zako na 35% zaidi ya unavotoa misaada Kwa watu wenye uhitaji.
imebainika kuwa mwanaume hubeba mzigo mkubwa wakutunza familia yake lakini pia wazazi na ndugu, pia wale wahitaji ambao wanaomzunguka.. hi humfanya kuwa na wimbi kubwa la mawazo ambayo humfanya kuwaza namna gani anaweza kuyakabili haya yote, na hii hupelekea kuathiri kiasi kubwa mwili wake mwisho husombwa na magonjwa kudhoofika mwisho hufa.
30%- hudumia familia yako Kwa asilimia 30 tu yakile unachokipata. iwazie familia yako Kwa 30% tu.
mwanaume hapa nikuambie kitu wakati wewe unaiwaza familia yako Kwa 100%, familia yako hukuwaza wewe Kwa 15% tu.. na ndo maana siku ukiaga unaondoka nyumbani mke wako hukuulizia sisi unatuachaje!?
au sio shida mwanamke kukuuliza kuwa ww ukifa sisi tutaishije hapa.
haya yote yana maana kuwa familia yako hukuwaza wewe Kwa asilimia ndogo saana kuliko wewe unavoiwaza.
kwahiyo punguza kuiwaza na kuitendea Kila kitu familia yako mpaka ifike 30% tu hapa utakuwa unaiwazia mara mbili zaidi kuliko wanavyokuwazia wewe.
hapa utakuwa umepunguza mzigo na kujiwazia wewe mwenyewe na hatimae utakuwa umejiongezea siku za kuishi.
25% wajali wazazi wako, ndugu na marafiki zako Kwa asilimia 25., mwanaume wekeza maisha yako Kwa wazazi wako na ndugu zako Kwa hizi asilimia.
wazazi wetu wanahitaji saana misaada yetu, hasa Kwa kipindi Cha uzeeni.. jitahidi katika maisha yako ujipe jukum la kutosha kuwahudumia.
Kwa upande wa ndugu angalia wale wanaosaidika, lakini pia wale ambao Kwa namna Moja ama nyingine walikusaidia pia. hao wengine ndugu lawama unaweza kuachana nao tu.
lakini pia Kwa upande wa marafiki, angalia marafiki wa faida wa kusaidiana nao.
Kuna wakati marafiki wanaweza wakawa zaidi ya ndugu ni vizuri kusaidiana nao na kuwajali pia.
5%- itumie hii asilimia kutoa misaada Kwa wahitaji, toa saana sadaka kanisani au msikitini Kwa kutumia hizi asilimia.
toa Kwa wahitaji tu na utenge kabisa kuwa hiki ni chakutoa Kwa mda flani. jitahidi uwape wale wanaostahili.
0%- hii ni lifestyle, hii haihitaji gharama kuishi katika mtindo wa maisha utakaokufanya uongeze umri wa kuishi.
ni vile tu kufanya maamuzi Kam vile kujali zaidi afya Kwa kujiepusha na vitu vinavyoweza kudhuru afya yako.
mwisho,
hii kanuni inasisitiza kujijali zaidi wewe mwenyewe kuliko Chochote katika maisha yako.
ukipata nafasi yakula kula, kwenye kuvaa vaa, na kwenye kufurahi furahi. acha kubeba mizigo usiyoiweza.
hii itakupunguzia mzigo wa kuwaza na kuzoa magonjwa yatokanayo na sonona.
hatimae kujiongezea umri wakuishi.
nasisitiza juu ya wewe unayejali mke na michepuko kuliko unavojijali wewe mwenyewe.
nikuambie tu Hawana shukrani hao.. utakuja kugundua Hilo wakati umeshatetereka.
Tafadhali amka Sasa na jijali wewe mwenyewe zaidi ya yyt.