Mwanaume Rijali anaemuogopa Allah hawezi kuwa na mwanamke mmoja

Uyo mwanamke aliyeongea ayo maneno anatakiwa aisome sana dini na kuielewa siyo lazima kwenye Uislamu kuowa mwanamke zaidi ya mmoja..kuna sheria na taratibu zake ambazo ni lazima uwe nazo ili uweze kutimiza ilo jambo la kuowa mke zaidi ya mmoja..ukishindwa utaratibu uliyowekwa japo mmoja tayari unakuwa uwezi kuowa mke zaidi ya mmoja cha kwanza kabsa ni uadilifu..apa ndio kwenye mtihani mkubwa kwa walio wengi..yani unachomnunulia uyu na mwingine nae ni ivyo ivyo ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…