Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 2,597
- 3,965
- Thread starter
- #21
Haaa acheni ufalaZimejaa mkuu tunamwangalia tu .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haaa acheni ufalaZimejaa mkuu tunamwangalia tu .
apo sasa kamuulize ye mwenyeweKwanini Jacob aliambatana na wakewe?
tamaa tu hizo aiseImekuja na kutoka kama ilivo
Ha ha ha jiimarisheKwa sisi Waafrika asilimia kubwa uchumi hauruhusu,ingawa kuna wengine wanaoa hivyohivyo tu.Kwanza wanawake wenyewe hawachelewi kurogana na Mwanaume ukawa kama Zombie tu.
TutawanyooshaNa niwabishi haijawah kutokea
sura ina ruhusu siyo😂😂Ashakum si matusi, huyo aliyetoa kauli ni halali yake kuolewa mke wa pili
ila safi tu,,muhimu nikiwa napata yale nayotakiwa kupata toka kwake,,aoe ata 10 tu.Na wakewe
nataka kuoa dada zako wawili. natumai nitaoa dada zake shetani wawili nami niwe mwanaukoo wa shetani.kwa uchumi upi wa sasa ? rijali ni pesa hayo mengine ni sawa na sabuni tu
Kwa refference ya kuruani au biblia?Na wakewe
We huwezi..!!! Kujua saa hii anabandua mtu huko, hata kama unapewa kila wewe hutawezaila safi tu,,muhimu nikiwa napata yale nayotakiwa kupata toka kwake,,aoe ata 10 tu.
Kwa nini iwe ufala wakati maamuzi ya kuoa na kutooa ni ya mtu binafsi na sio sheria?Haaa acheni ufala
Imekuja na kutoka kama ilivo
Shauri yako,,ata wabanduane prmbeni yangu apa ,,kama mimi sina uhitaji huo kwa mda huo sijali wala nini 😄😄We huwezi..!!! Kujua saa hii anabandua mtu huko, hata kama unapewa kila wewe hutaweza
Aisee ngoja wataalam waje
naniHuyo ako na ugonjwa wa akili, apuuzwe.
Uhitaji huwa unaambukizwaShauri yako,,ata wabanduane prmbeni yangu apa ,,kama mimi sina uhitaji huo kwa mda huo sijali wala nini 😄😄
Wewe siku zako unazijua?KATAA NDOA, KATAA KUFA KABLA YA SIKU ZAKO 🤒😎