Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
Kwa nyie hamtakiwi kuishi maisha ya kifungo mpo huru muda wote ku hang out .Ambao hatuna wake maalumu tuna comment wapi?
Sana bwasheeKwa nyie hamtakiwi kuishi maisha ya kifungo mpo huru muda wote ku hang out .
Family first.
Family is not an important thing, It's everything.Kabisa Familia yako unatakiwa uipe kipaumbele
Sure bwashee, familia yangu ni binti yangu kipenzi na mama yangu mzazi🤗 nikimaliza hapo nikulewa tu😂Family first.
Ngoja niwatengenezee uziAmbao hatuna wake maalumu tuna comment wapi?
🤣🤣 kweli , ila kwenye ndoa zenu kuna watoto wetuNgoja niwatengenezee uzi
Hapo inatakiwa ujikite kwenye mission ya kusaka jikoVp kama sina masela wa kutoka nao na sina mke?
Baki na sabuni nyumbaniVp kama sina masela wa kutoka nao na sina mke?