Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Au sio 😂Baki na sabuni nyumbani
Msidanganyike na comment zangu humu, JF n sehemu yangu ya ku-having fun tuu
Au sio 😂Baki na sabuni nyumbani
Navyocomment mwingine ananiita diaspora angejua 😅Au sio 😂
Msidanganyike na comment zangu humu, JF n sehemu yangu ya ku-having fun tuu
Sound good,safi sana But mkuu hivi nyama choma hua ina pikwa au inachomwa? Maana siku hizi ni kama vile hiki Kiswahili cha sasa kinaniacha nyuma.Nadhani ni miaka 10 sijatoka out zaidi ya familia mchana na si weekend
But it's life , nmewapikia jana nyama choma moja wamefurahi
Yes mid of the week nakuwa busy na kz ila kwa ww jobless anyday is good for uKwahiyo wewe ku-have fun na kupanga mipango na mke wako ni mpaka wikiend?
Angejua unashindia kawaha na kashata 😂Navyocomment mwingine ananiita diaspora angejua 😅
Sawa tuuu, maadam wanatumia majina yetu basi ni wa kwetu🤣🤣 kweli , ila kwenye ndoa zenu kuna watoto wetu
Labda watoto. Mipango unatakiwa upange wewe mwanaume Kisha umpe taarifa tu.Man to Man , sio kila wknd lazma utoke na Masela sometimes tuliza mbupu kwa mke wako mpange mipango ya maisha na ku have fun kuna watu hawana muda kabisa na familia zao au hata kukaa na watoto
Hahahah tule pombe bwashee, kipenzi chetu Seran ana hatia gani kubwa kiasi cha secretarybird kufunguliwa na yeye bado bwashee?Sawa tuuu, maadam wanatumia majina yetu basi ni wa kwetu
Ukiwa busy wewe ndiyo unahisi kika mmoja yuko busy mid of the week mpaka utupangia siku ya ku-have fun na wake zetu?Yes mid of the week nakuwa busy na kz ila kwa ww jobless anyday is good for u
Bwashee najua wewe unajicho la tatu, na nadhani binti yetu Serani utakuwa unamwona humu amevaa vazi lililoufunika mwili wake wote kasoro macho 😅Hahahah tule pombe bwashee, kipenzi chetu Seran ana hatia gani kubwa kiasi cha secretarybird kufunguliwa na yeye bado bwashee?
BothSound good,safi sana But mkuu hivi nyama choma hua ina pikwa au inachomwa? Maana siku hizi ni kama vile hiki Kiswahili cha sasa kinaniacha nyuma.
Hahahaa hapana bwashee, sijamwona kabisa, malkia huyo 😂Bwashee najua wewe unajicho la tatu, na nadhani binti yetu Serani utakuwa unamwona humu amevaa vazi lililoufunika mwili wake wote kasoro macho 😅
Nyetuka kwa raha zako.Vp kama sina masela wa kutoka nao na sina mke?
Mimi huwa namwangalia tu 😅Hahahaa hapana bwashee, sijamwona kabisa, malkia huyo 😂
Kuna nyumbu wa kuitwa musa alidai ni wewe bwashee 🤣Mimi huwa namwangalia tu 😅
Kumbe yeye bado yupo Cell?Hahahah tule pombe bwashee, kipenzi chetu Seran ana hatia gani kubwa kiasi cha secretarybird kufunguliwa na yeye bado bwashee?
Kwamba Mimi ndo Seran?😂. Nacheka kwa dharau HAHAHA!Kuna nyumbu wa kuitwa musa alidai ni wewe bwashee 🤣
Ni huzuni sana bwasheeKumbe yeye bado yupo Cell?
Labda aliua
Sijasema hivyo bwashee🤣 zangu si unajua ni pombe tu🤗Kwamba Mimi ndo Seran?😂. Nacheka kwa dharau HAHAHA!