Mwanaume, Tafuta mahari Umlipie Huyo Mwanamke, Hata Kama Hana Bikra

Mwanaume, Tafuta mahari Umlipie Huyo Mwanamke, Hata Kama Hana Bikra

Holoholo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2023
Posts
8,723
Reaction score
19,715
1. Ukimlipia mahari mwanamke,huyo anakuwa mali yako,atakuheshimu na kudumisha ndoa

2. Ukimlipia mahari,watoto mtakao zaa nae wanabelong kwako si kwa upande wa mwanamke.

3. Mahari si kwa ajiri ya kumnunua mwanamke bali ni fadhira kwa wazazi walezi wa binti.

4. Mahari huleta maelewano kati ya wanandoa,na familia kwa ujumla,usipotoa mahari,kuheshimiana huwa ni kidogo sana,ugomvi usioisha kwa vile haujatoa mahari akienda kwao huwezi kumwambia lolote

5. Mahari haijaanza leo,ni jambo la toka kale,hivyo ni vema tamaduni zidumishwe

NB: kigezo cha kusema kutoa mahari ni mpaka mwanamke bikra haina mashiko,kwani wapo waliobakwa,waliozaliwa na bila bikra,wapo waliopoteza kwa bahati mbaya,wengine wapo waliopoteza kutokana na shughuli za kibinadamu,kama kuendesha baiskeli nk nk. KUTOA MAHARI NI JAMBO LA LAZIMA.
 
Mahali ni asante kwa wazazi kwa kukutunzia binti yao,je unajua kinacho tunzwa ni nini?

Sometimes tukubali tu kama jamii tumeshindwa kuwatunza mabinti zetu kwa kifupi jamii ipo hivyo sababu hamna uwajibikaji kwenye malezi,ile maana ya mahari ya mwanzoni imepotea.
 
Tena siku hizi mahari bei chee! Sana eti unakuta kabinti ka 19 kamefeli zake form four low mileage ka astadhati fulani eti wanakutoza milioni moja tu! Hapo wanakutegea utashuka shuka hadi 700k. Aisee kanatii amri tu ndani kanakuzalia watoto wazuri tu.. Aisee!
 
Mahari ni utumwa, biashara ya kuuza mtu au watu.

Nenda huko vijijini ndio utaelewa nini maana ya mahari (kwa kuwa msingi wake ni zama na zama na wao Wana mengi sana wamerithishana kwa tamaduni zao, makabila yao)

Hizo zingine za Asante ni ngonjera/la zenu wenye tamaa na hela. Fanyeni kazi acheni biashara ya kuuza watu kwa kisingizio cha Asante kwa wazazi.

Mtakuwa malofa kama askofu asemavyo.
 
Isanga family njoo huyu jamaa analeta ukorofi.😃😃😃
Hawa watoto hawajui kuwa zipo bikra za kutengeneza wahuni walimtengenezea King Mswati na akaoa baadae ile hospital iliyotengeneza mzigo ikatoa siri na ndoa ikavunjika wadogo wakipakiwa rangi kidogo tu wanaenda hawa..
 
Hawa watoto hawajui kuwa zipo bikra za kutengeneza wahuni walimtengenezea King Mswati na akaoa baadae ile hospital iliyotengeneza mzigo ikatoa siri na ndoa ikavunjika wadogo wakipakiwa rangi kidogo tu wanaenda hawa..
Hata Bongo za kutengeneza zipo?
 
Back
Top Bottom