Mwanaume, Tafuta mahari Umlipie Huyo Mwanamke, Hata Kama Hana Bikra

Nani kasema mtutolee mahari tena😀😀.Mimi tu nimehoji tu hiyo sababu ya kutolewa mahali kama ni shukrani kwa wazazi wa mwanamke kumtunza mtoto wao kwa gharama zote hizo ndo nikauliza kwani wazazi wa mwanaume hawatumii gharama kumtunza mtoto wao na hawahitaji shukrani ila wa mwanamke wanahitaji? Cause kama mpaka anakuja kukuoa na inamaanisha aligharamiwa vyema na kulelewa vyema kuliko hata wewe mwanamke kwann nyie msiwashukuru kwa kuwapa binti bure huyu tu.
Duhh, ungesoma sayansi ya jamii ungeelewa vingi! Kuna kitu kinaitwa gender difference, katika kum-raise mtoto wa kike na wakiume katika jamii kuna utofauti mkubwa sana despite gharama, tena wa kiume anaweza kuwa na gharama zaidi kama ukim-consider sana! Kama una watoto hapo angalia jinsi wanavyo tofautiana katika malezi! Utaona tu mtoto wa kike anapewa kipumbele kuzidi kuliko wa kiume! Hauwezi kulinganisha huduma zao hata siku moja na wanaofanya hivyo mnaona matokeo yake huwa sio mazuri! Mtoto ataanza kusemwa analelewa kama wa kike atakuwa shoga and all that!

Turudi kwenye swali lako, ni kama vile unalazimisha usawa kwenye issue ya gharama za malezi na mahari! Mwanaume atabaki kuwa mwanaume na lazima awe juu kuliko mwanamke! Kuna baadhi ya mambo ya kuyapa kipaumbele kama elimu,afya,nafasi ktk jamii n.k ndiyo yanaweza kuleta huo usawa! Ila kama mwanaume unahitaji heshima yako huwezi kushindwa kufata taratibu ndogo kama hizi kwa kutaka usawa! Japo kuna jamii kama india mwanamke anatoa mahari na bado yuko chini ya mwanaume! Ni tamaduni tu wala haina ulingani sana na gharama! Japo kumtunza mtoto wa kike mpaka uje kumchukua wewe mikononi mwa wazazi wao sio jambo la kawaida sana kama unavyoliweka! Kuna familia hazina malezi kabisa na gharama za malezi mara nyingine sio pesa tu hata kuwa na tabia njema ni swala jingine!
 
Umetoa mfano wa India, so umeoana jinsi gani kwamba kumbe hata mwnaume anathamani yake siyo swala et ni shukrani ya gharama za kumlea mwanamke,hata mwnaume anagharama hadi anakupata wewe tena kubwa sana sabab mwanaume hadi avute jiko kashaingia gharama kubwa sana na yuko tayari kuingia gharama nyingine na usikute anakuja kukuchukua uko tu home na huna hata issue. Mahari ni utumwa!
 
Kwahiyo unataka mahari ifutwe?
 
Mahari ni biashara ya kununua mwanamke.

Sisi Watibeli hatutoi Mahari wala binti zetu hawatolewi mahari.

Hayo ya kununua wanawake tumeachia Jamii zingine
 
Utaratibu wa kale wa utoaji mahari ulikua na masharti ya mabadilishano, ambapo kwa upande wa mwanamke sharti moja wapa ni bikira,kwaiyo kama mwanamke sio bikira maana yake automatically maana ya kutoa mahari haipo tena.

Kama tunakubaliana kutoa mahari basi tusimame kwenye standard ya mabadilishani ambayo ni bikira, na kama tukiamua kupuuzia bikira kama standard measure basi na mwanamke asitolewe mahari
Na hiyo ipo kibiblia, bikra ndo inatukuzwa.
 
Hivi mwanaume anakuwa hatunzwi kwa gharama za wazazi wake? Mwanamke hapaswi kutoa shukrani kwa wazazi wa mwanaume kumtunza mtoto wao?
Halafu utakuta mwanaume ametumzwa kwa mamilioni ya pesa mpaka kupata degree, mwanamke kaishia form four, nani katunzwa hapo.
 
Back
Top Bottom