hip hop uchwara
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 6,853
- 4,552
.
Bikra mnawatoa nyie,kuwaoa hamtaki, mnataka tena bikra,nenda kamuoe yule uliyemtoa bikra mara ya kwanza.
Hizo ni nadharia tu. Hakuna uhusiano wa mahari na uliyoyasema hapo juu. Mahari ni jambo la kitamaduni tu hakuna zaidi1. Ukimlipia mahari mwanamke,huyo anakuwa mali yako,atakuheshimu na kudumisha ndoa
2. Ukimlipia mahari,watoto mtakao zaa nae wanabelong kwako si kwa upande wa mwanamke.
3. Mahari si kwa ajiri ya kumnunua mwanamke bali ni fadhira kwa wazazi walezi wa binti.
4. Mahari huleta maelewano kati ya wanandoa,na familia kwa ujumla,usipotoa mahari,kuheshimiana huwa ni kidogo sana,ugomvi usioisha kwa vile haujatoa mahari akienda kwao huwezi kumwambia lolote
5. Mahari haijaanza leo,ni jambo la toka kale,hivyo ni vema tamaduni zidumishwe
NB: kigezo cha kusema kutoa mahari ni mpaka mwanamke bikra haina mashiko,kwani wapo waliobakwa,waliozaliwa na bila bikra,wapo waliopoteza kwa bahati mbaya,wengine wapo waliopoteza kutokana na shughuli za kibinadamu,kama kuendesha baiskeli nk nk. KUTOA MAHARI NI JAMBO LA LAZIMA.
Hizo ni nadharia tu. Hakuna uhusiano wa mahari na uliyoyasema hapo juu. Mahari ni jambo la kitamaduni tu hakuna zaidi