Mwanaume, Tafuta mahari Umlipie Huyo Mwanamke, Hata Kama Hana Bikra

Sio kulipia mahari tu, ana deserve kulipiwq, ana deserve kuitwa mke wako.. kuna vitu vya kuchunguza...
 


Mnabifurahisha. Bikra inapotezwaje bahati mbaya?? Kwamba alikua anacheza anakimbia kimbia "KWA BAHATI MBAYA" akajikwaa akaangukia mashine.. Au sio mzee??
 
Kuna umuhmu wa hawa vijana ambao hawatoi mahari wawe wananyanganywa waliowaoa,ili liwe fundisho kwa wengine.
Wanawake wapo wengi mno, ukinyang'anya huyu watu kesho tu wamepata yule. Na huyo ulomchukua anaenda kubaki singo maza au mtamuoa nyie??
 
Unapinga maagizo ya mungu usifanye Zina kabla ya ndoa unahalalisha tamaa zako za kimwili na umalaya kupinga amri za mungu hakika unatafuta wafuasi wako wakuingia nao motoni.
 
Umefafanua vyema
 
Pole sana mkuu kwa kudhulumiwa malipo ya mahari ya binti yako. Huu mwandiko wote unadhihirisha una ugomvi na mkwe kisa mahari, hata nusu hajatoa? Ikibidi msamehe tu
Ana mabinti wengi na anamatarajio makubwa ya kuvuna mahari tatizo hawatunzi Binti zake wote wameshatoa mimba hawana thamani tena
 
Mambo anayoyapenda Natafuta ajira haya 😅 Natafuta Ajira
 
Ukiangalia kwa jicho kali mwanamke ndo anapaswa kutoa mahali!
 
Wametengenezewa sana hao kwani ni kazi hata dispensary za kawaida Jozi wanatengeneza sana tu vijana ukiwasanua wao wanakuona wewe ndio hujui kitu..
Bora uweke standard ya bikira halafu utengenezewe hiyo bikira ukiwa haujui. Utakua mjinga kama unajua kabisa hapa hakuna bikira halafu unatoa mahari.
 
Utaratibu wa kale wa utoaji mahari ulikua na masharti ya mabadilishano, ambapo kwa upande wa mwanamke sharti moja wapa ni bikira,kwaiyo kama mwanamke sio bikira maana yake automatically maana ya kutoa mahari haipo tena.

Kama tunakubaliana kutoa mahari basi tusimame kwenye standard ya mabadilishani ambayo ni bikira, na kama tukiamua kupuuzia bikira kama standard measure basi na mwanamke asitolewe mahari
 
Bikra mnawatoa nyie,kuwaoa hamtaki, mnataka tena bikra,nenda kamuoe yule uliyemtoa bikra mara ya kwanza.
Umeongea as if kila mwanaume alishiriki kwenye kuwatoa bikira hao wanawake unaowaongelea 🤣🤣🤣🤣, kila mtu aoe anayemtaka, masuala ya bikira yabaki kwenye vichwa vya waoaji. Tusiwapangie watu maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…