Duhh, ungesoma sayansi ya jamii ungeelewa vingi! Kuna kitu kinaitwa gender difference, katika kum-raise mtoto wa kike na wakiume katika jamii kuna utofauti mkubwa sana despite gharama, tena wa kiume anaweza kuwa na gharama zaidi kama ukim-consider sana! Kama una watoto hapo angalia jinsi wanavyo tofautiana katika malezi! Utaona tu mtoto wa kike anapewa kipumbele kuzidi kuliko wa kiume! Hauwezi kulinganisha huduma zao hata siku moja na wanaofanya hivyo mnaona matokeo yake huwa sio mazuri! Mtoto ataanza kusemwa analelewa kama wa kike atakuwa shoga and all that!Nani kasema mtutolee mahari tena😀😀.Mimi tu nimehoji tu hiyo sababu ya kutolewa mahali kama ni shukrani kwa wazazi wa mwanamke kumtunza mtoto wao kwa gharama zote hizo ndo nikauliza kwani wazazi wa mwanaume hawatumii gharama kumtunza mtoto wao na hawahitaji shukrani ila wa mwanamke wanahitaji? Cause kama mpaka anakuja kukuoa na inamaanisha aligharamiwa vyema na kulelewa vyema kuliko hata wewe mwanamke kwann nyie msiwashukuru kwa kuwapa binti bure huyu tu.
Kobaz ndiyo maana yake nini!? Pia sidhani kama uko sawa kwenye medula yako! Kuoa ni umalaya? Kama una watoto basi wamepata baba mjinga..Kobaz kwa umalaya mko vzr Sana
Unawezaje kumfanya Binti wa miaka 19 kuwa mkeo, PumbavuKobaz ndiyo maana yake nini!? Pia sidhani kama uko sawa kwenye medula yako! Kuoa ni umalaya? Kama una watoto basi wamepata baba mjinga..
Unawezaje kumfanya Binti wa miaka 19 kuwa mkeo,
Ukikua utatambua sasa hivi bado upuku puku wa mavi hujatoka kwenye hiyo medula yako… Wewe utakuwa baba MjingaUnawezaje kumfanya Binti wa miaka 19 kuwa mkeo, Pumbavu
Umetoa mfano wa India, so umeoana jinsi gani kwamba kumbe hata mwnaume anathamani yake siyo swala et ni shukrani ya gharama za kumlea mwanamke,hata mwnaume anagharama hadi anakupata wewe tena kubwa sana sabab mwanaume hadi avute jiko kashaingia gharama kubwa sana na yuko tayari kuingia gharama nyingine na usikute anakuja kukuchukua uko tu home na huna hata issue. Mahari ni utumwa!Duhh, ungesoma sayansi ya jamii ungeelewa vingi! Kuna kitu kinaitwa gender difference, katika kum-raise mtoto wa kike na wakiume katika jamii kuna utofauti mkubwa sana despite gharama, tena wa kiume anaweza kuwa na gharama zaidi kama ukim-consider sana! Kama una watoto hapo angalia jinsi wanavyo tofautiana katika malezi! Utaona tu mtoto wa kike anapewa kipumbele kuzidi kuliko wa kiume! Hauwezi kulinganisha huduma zao hata siku moja na wanaofanya hivyo mnaona matokeo yake huwa sio mazuri! Mtoto ataanza kusemwa analelewa kama wa kike atakuwa shoga and all that!
Turudi kwenye swali lako, ni kama vile unalazimisha usawa kwenye issue ya gharama za malezi na mahari! Mwanaume atabaki kuwa mwanaume na lazima awe juu kuliko mwanamke! Kuna baadhi ya mambo ya kuyapa kipaumbele kama elimu,afya,nafasi ktk jamii n.k ndiyo yanaweza kuleta huo usawa! Ila kama mwanaume unahitaji heshima yako huwezi kushindwa kufata taratibu ndogo kama hizi kwa kutaka usawa! Japo kuna jamii kama india mwanamke anatoa mahari na bado yuko chini ya mwanaume! Ni tamaduni tu wala haina ulingani sana na gharama! Japo kumtunza mtoto wa kike mpaka uje kumchukua wewe mikononi mwa wazazi wao sio jambo la kawaida sana kama unavyoliweka! Kuna familia hazina malezi kabisa na gharama za malezi mara nyingine sio pesa tu hata kuwa na tabia njema ni swala jingine!
Kwahiyo unataka mahari ifutwe?Umetoa mfano wa India, so umeoana jinsi gani kwamba kumbe hata mwnaume anathamani yake siyo swala et ni shukrani ya gharama za kumlea mwanamke,hata mwnaume anagharama hadi anakupata wewe tena kubwa sana sabab mwanaume hadi avute jiko kashaingia gharama kubwa sana na yuko tayari kuingia gharama nyingine na usikute anakuja kukuchukua uko tu home na huna hata issue. Mahari ni utumwa!
Yeah, ifutwe tu sioni maana.Kwahiyo unataka mahari ifutwe?
Huyu aliyeandika Uzi, yuko miaka 20 nyuma.
Hiyo DP hapo ni Dodoma-Nyerere square?Mada za wavulana.
Wewe siyo mtanzania?narudia kuuliza tena, kwa nini watanzania mnaona bikira ni big deal?
Na hiyo ipo kibiblia, bikra ndo inatukuzwa.Utaratibu wa kale wa utoaji mahari ulikua na masharti ya mabadilishano, ambapo kwa upande wa mwanamke sharti moja wapa ni bikira,kwaiyo kama mwanamke sio bikira maana yake automatically maana ya kutoa mahari haipo tena.
Kama tunakubaliana kutoa mahari basi tusimame kwenye standard ya mabadilishani ambayo ni bikira, na kama tukiamua kupuuzia bikira kama standard measure basi na mwanamke asitolewe mahari
Sorry hivi hiyo DP ni mnyama gani huyo?Huyu aliyeandika Uzi, yuko miaka 20 nyuma.
Nilijua huu Uzi ni wa 2008
Halafu utakuta mwanaume ametumzwa kwa mamilioni ya pesa mpaka kupata degree, mwanamke kaishia form four, nani katunzwa hapo.Hivi mwanaume anakuwa hatunzwi kwa gharama za wazazi wake? Mwanamke hapaswi kutoa shukrani kwa wazazi wa mwanaume kumtunza mtoto wao?
Kijazi Interchange.Hiyo DP hapo ni Dodoma-Nyerere square?
OKKijazi Interchange.