Mwanaume, Tafuta mahari Umlipie Huyo Mwanamke, Hata Kama Hana Bikra

Kwa akili hizi umalaya hautaisha na watoto wa kike watendelea kuwa wa hovyo siku zote.

Wewe badala ya kuhimiza watoto wa kike kujitunza na kuanza mahusiano serious wewe upo busy kuwarubuni na kuwapotosha wanaume kukubaliana na uzembe wa wanawake?

Mbona hauwaambii wanawake kukubaliana na maisha kuishi na wanaume hata kama hawana hata shillingi 100 ndani na wajikaze kuishi maisha ya kuunga unga. Kwasababu unajua kuwa hiyo sio kitu kizuri kwa wanawake si ndio?

Acha upuuzi wewe.
 
Hizo ni nadharia tu. Hakuna uhusiano wa mahari na uliyoyasema hapo juu. Mahari ni jambo la kitamaduni tu hakuna zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…