Ni kweli kabisa..Wasalaam Wakuu !
Humu ndani kuna Wanaume na Watoto wa kiume lakini ukiwa Mwanaume tambua yafuatayo
1.Hakuna anayekujali.
2.Sio mkeo.
3.Sio familia yako
4. Si marafiki zako.
5.Sio wenzako unaofanya nao kazi.
6. Hakuna mtu anayekujali.
Watu hufanya mambo kama wanajali lakini ndani yao hakuna kabisa.
Tambua
Uko peke yako na una wajibika kivyako.
Wakati mwema.
Wateja wa biashara yako ni wengi sana.KAMA MWANAMKE ?
Sherman BrowneJapo kweli hii kwa wengine inafanya kazi ,ila kwa hapa nilipo siwezi kupuuza mchango wa ndugu ,jamaa rafiki na hata ma babies ,kwa hapa nilipofikia.
Ukizaliwa mwanaume tambua tayari upo mstari mbele vitani mpaka siku unakufa.........Ukilegea unaolewa pamoja na dada zako.Wasalaam Wakuu,
Humu ndani kuna Wanaume na Watoto wa kiume lakini ukiwa Mwanaume tambua yafuatayo
1. Hakuna anayekujali.
2. Sio mkeo.
3. Sio familia yako
4. Si marafiki zako.
5. Sio wenzako unaofanya nao kazi.
6. Hakuna mtu anayekujali.
Watu hufanya mambo kama wanajali lakini ndani yao hakuna kabisa.
Tambua uko peke yako na una wajibika kivyako.
Wakati mwema.
Mkuu binafsi napend kupata experience ya maisha mimi kama mimi , mitandaoni unaweza kuisha kwa ushauri wa mtu mwenye emotional trauma bila kujua🤔🤔🤔Sherman Browne
Anakwambiaje
Decision determine destiny ( triple D )
Prioritize Properly ( double P )
The Choice is
Bro alinifanyia connection je ananijali au hanijaliWasalaam Wakuu !
Humu ndani kuna Wanaume na Watoto wa kiume lakini ukiwa Mwanaume tambua yafuatayo
1.Hakuna anayekujali.
2.Sio mkeo.
3.Sio familia yako
4. Si marafiki zako.
5.Sio wenzako unaofanya nao kazi.
6. Hakuna mtu anayekujali.
Watu hufanya mambo kama wanajali lakini ndani yao hakuna kabisa.
Tambua
Uko peke yako na una wajibika kivyako.
Wakati mwema.
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/vladhungrygen/videos/441591890396857/?mibextid=rS40aB7S9Ucbxw6v