Mwanaume tambua uko peke yako na unawajibika kivyako

Mwanaume tambua uko peke yako na unawajibika kivyako

Manyanza

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
16,464
Reaction score
35,629
Wasalaam Wakuu,

Humu ndani kuna Wanaume na Watoto wa kiume lakini ukiwa Mwanaume tambua yafuatayo

1. Hakuna anayekujali.
2. Sio mkeo.
3. Sio familia yako
4. Si marafiki zako.
5. Sio wenzako unaofanya nao kazi.
6. Hakuna mtu anayekujali.

Watu hufanya mambo kama wanajali lakini ndani yao hakuna kabisa.

Tambua uko peke yako na una wajibika kivyako.

Wakati mwema.
 
Wasalaam Wakuu !
Humu ndani kuna Wanaume na Watoto wa kiume lakini ukiwa Mwanaume tambua yafuatayo

1.Hakuna anayekujali.
2.Sio mkeo.
3.Sio familia yako
4. Si marafiki zako.
5.Sio wenzako unaofanya nao kazi.
6. Hakuna mtu anayekujali.

Watu hufanya mambo kama wanajali lakini ndani yao hakuna kabisa.

Tambua
Uko peke yako na una wajibika kivyako.
Wakati mwema.
Ni kweli kabisa..
Jamaa lisema kwenye uzi mmoja hapa tusijisahau tujipenda na sisinisee..!
 
Wasalaam Wakuu,

Humu ndani kuna Wanaume na Watoto wa kiume lakini ukiwa Mwanaume tambua yafuatayo

1. Hakuna anayekujali.
2. Sio mkeo.
3. Sio familia yako
4. Si marafiki zako.
5. Sio wenzako unaofanya nao kazi.
6. Hakuna mtu anayekujali.

Watu hufanya mambo kama wanajali lakini ndani yao hakuna kabisa.

Tambua uko peke yako na una wajibika kivyako.

Wakati mwema.
Ukizaliwa mwanaume tambua tayari upo mstari mbele vitani mpaka siku unakufa.........Ukilegea unaolewa pamoja na dada zako.
 
Sherman Browne
Anakwambiaje
Decision determine destiny ( triple D )
Prioritize Properly ( double P )
The Choice is
Mkuu binafsi napend kupata experience ya maisha mimi kama mimi , mitandaoni unaweza kuisha kwa ushauri wa mtu mwenye emotional trauma bila kujua🤔🤔🤔
 
Wasalaam Wakuu !
Humu ndani kuna Wanaume na Watoto wa kiume lakini ukiwa Mwanaume tambua yafuatayo

1.Hakuna anayekujali.
2.Sio mkeo.
3.Sio familia yako
4. Si marafiki zako.
5.Sio wenzako unaofanya nao kazi.
6. Hakuna mtu anayekujali.

Watu hufanya mambo kama wanajali lakini ndani yao hakuna kabisa.

Tambua
Uko peke yako na una wajibika kivyako.
Wakati mwema.

View: https://www.facebook.com/vladhungrygen/videos/441591890396857/?mibextid=rS40aB7S9Ucbxw6v

Bro alinifanyia connection je ananijali au hanijali
 
Back
Top Bottom