Mwanaume Ukifumaniwa unachepuka, usikimbie

Jamaa mzembe Sana,
Itakua ndo Mara yake ya kwanza kuchepuka, kwanza hamna wanaume majasiri Kama wachepukaji, wameshajiandaa kwa lolote lile[emoji4]
 
Kwani mkuu kuchepuka lazima utembee na mke wa mtu?
 
Uko sahihi kabisa mkuu,kwanza mwanaume hafumaniwagi, sanasana anakutwa tu na mwanamke mwingine. Mwanamke ndio anafumaniwa kwa sababu yeye hatakiwi kuwa na mwanaume tofauti na aliyenae.


Yule mpuuzi katudhalilisha sana sisi wenye mlengo wa kushoto.
 
Kwanza mimi hua sikubali kosa, nakana kosa mbele ya macho yako, ukileta vilio makofi yanakuhusu na nakuundia kesi hapo hapo na home sirudi nahama tu hotel simu sikupigii hapo utatia adabu vizuri
Safi sana, hayo ndiyo matendo ya kiume.
 
Uko sahihi kabisa mkuu,kwanza mwanaume hafumaniwagi, sanasana anakutwa tu na mwanamke mwingine. Mwanamke ndio anafumaniwa kwa sababu yeye hatakiwi kuwa na mwanaume tofauti na aliyenae.


Yule mpuuzi katudhalilisha sana sisi wenye mlengo wa kushoto.
Hatua za kinidhamu zishachukuliwa dhidi yake, tumemsimamisha uanachama kwa muda[emoji4]
 
Mwanaume anayejielewa na mzoefu hatabishana na wewe kwenye hili.
 
Hujaoa wanawake wanajeshi au makomandoo au usalama wa taifa wewe mleta mada huombi hata maji ya kunywa unaenda moja kwa moja nyumba ya milele ukifuminiwa anakumaliza sekunde
 
Kwahiyo DeepPond wewe ndiyo jabali kuu la kuchepuka si ndiyo? Wewe ni mchepukaji sugu, uliyeshindikana Afrika Mashariki na kati. Hadi unatoa mbinu zote.
 
Me nilishafumaniwa halafu kwenye pipiri_papara,manzi si akawahi kisu...aiseee
 
Hujaoa wanawake wanajeshi au makomandoo au usalama wa taifa wewe mleta mada huombi hata maji ya kunywa unaenda moja kwa moja nyumba ya milele ukifuminiwa
Tunaongelea uhalisia wewe unaongelea hekaya hapa, tangu lini mwanaume akaoa komandoo ikiwa hakuna komandoo mwanamke, then hao wanajeshi unaozungumzia nao ni binadam tu nje ya magwanda yao na tunaishi nao, nenda Makambako KJ pale kaulizie Mama Abdul mke wa Hassani ndio mke wangu mimi na hana maajabu yoyote kwenye ukorofi na makofi anakula kama kawa.
 
Hujaoa wanawake wanajeshi au makomandoo au usalama wa taifa wewe mleta mada huombi hata maji ya kunywa unaenda moja kwa moja nyumba ya milele ukifuminiwa anakumaliza sekunde
Kwaiyo wee unaogopa kufa?[emoji1]
 
Umenikumbusha mbali kidogo. Wife alimjua manzi ambae nilikuwa nachepuka. Akafanya umafia akamteka akiwa na njemba kama tatu hivi. Wakamtaiti yule ikiwemo na kumchapa sana.

Then wakapekua simu ya manzi wakapata ushahidi wa kutosha maana yule manzi alikuwa hafuti maujinga tuliyokuwa tunachati.

Badae jamaa mmoja wao akanipigia simu kwa namba ya yule manzi kwamba amepata ajali ya boda so niende nikamsaidie yule manzi. Mm nilikuwa mitungi nikawaambia wampe manzi niongee nae. Wakanipa sasa yule manzi akawa haongei ila analia tuu.

Wakanielekeza nikaenda hiyo mitaa. Kufika namkuta wife yale maeneo kwa nje. Nikajua leo kimenuka. Wife akanambia njoo huku umuone mchepuko wako.

Nikaingia ndani namkuta yule manzi kataitiwa na jamaa wawili, wakijifanya ni maaskari. Wife ndo kubwa la maadui akitoa amri wale miamba wanatekeleza, dah.

Kifupi pale pale nikawageuzia kibao hawakuamini. Kesi zilikuwa kama ifuatavyo.

1. Mna kesi kubwa ya kuteka mwanamke na kutishia usalama wake.
2. Hata kama ni mtuhumiwa ilibidi ajulishwe aende mwenyewe polisi au kama kukamatwa akamatwe na afande mwanamke tena mwenye RB.
3. Mna kesi kubwa ya kuingilia privacy ya mtu kwa kupekua mawasiliano yake kinguvu bila ridhaa yake.
4. Mna kesi ya kuharibu mali ya mtu maana mmemwaribia simu yake na kumpora vitu vya thamani kama vile fedha na mikufu ya thamani. Hii ya fedha na mikufu niliizusha tuu kuzidi kuwavuruga.
5. Mna kesi kubwa ya kunipotezea muda wangu nimeacha shughuli zangu kwa ajili ya ujinga wenu, itabidi wote mfidie hasara niliepoteza maani kwa muda ule niliacha dili la pesa.

Na nikawaambie wanisubiri hapo hapo naenda kituo cha jirani kuwachukua polisi ili waje wawakamate watuhumiwa.

Na nikamwambia yule demu mbele yao kwamba polisi wakifika pale aseme wamemteka pale kwa siku mbili na wamempora vitu vyake, mm nitakuwa shahidi yake.

Wale jamaa wswili waliondoka bila kuaga. Badae nikamwambia yule manzi aondoke. Then nikamwambia wife kama unabaki hapo endelea kubaki mm narudi kwenye mishe zangu tutakutana usiku nyumbani. Nikasepa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…