Mwanaume ukioa Mwanamke aliyekuzidi umri utajuta na kuteseka sana

Kwa utafiti nilioufanya kwa miaka zaidi ya mitano japo utafiti huu si rasmi nimegundua wanaume wengi wanaoteseka kwenye ndoa ni wale waliozidiwa kiumri na wake zao.

Yaani wanaume waliozidiwa umri na wake zao kiuhalisi hawana kauli ya utiisho mbele ya wake zao, hawana maamuzi ya peke yao, wanapelekeshwa sana mbaya zaidi wananyanyasika sana kiasi hata cha kuchapiwa wake zao na kutokuwa na nguvu ya kutowafanya chochote zaidi ya kukugumia tu kwa maumivu yanayowapelekea kupata depression na wengine wanaenda mbali zaidi kwa kujinyonga.

Vijana wa kiume nawashauri kabla hujao mwanamke zingatia sana umri wake, kiasili mwanamke anamheshimu sana mwanaume aliyemzidi umri.

Mwamke yupo tayari kumsikiliza mwendesha boda boda aliyemzidi umri kuliko mumewe aliye chini kiumri kuzidi yeye sijajua ni mechanism gani inawavutia kuwa hivyo ila ukweli ndio huo.

Mimi ni Pimbi kutoka Ludewa, Kwaherini
Rudia utafiti wako.

YESU NI BWANA
 
Umeandika kweli pimbi naongezea wanaume wanaoteswa na wake zao ni walio soma kisha wakao wasomi wenzao alafu wote wakawa wameajiriwa mwanaume anakuwa kama kibarua fulani hivi hana la kusema mbele ya mkewe
 
Write your reply...mbona huko ldw mimama ya kipangwa ndo yanatongoza watt na yanawaganda knm
 
Back
Top Bottom