Lanlady
JF-Expert Member
- Feb 27, 2019
- 1,836
- 6,303
Utakuta baadhi ya wanaume wanahangaika kutafuta tiba, kufanya mazoezi ili kuwa na maumbile makubwa. Na bado hawafikii lengo.
Sasa wewe kama una kibamia;
kwanza: mpende mkeo/mpenzi wako kwa dhati na hakikisha nayeye anakupenda. Kuwa muungwana tu haishushi uanaume wako .
Pili: jitahidi kutoonesha dharau ndogo ndogo. Wanawake wengi huamini wanaume wenye dharau wako vizuri kwenye kila eneo.
Tatu: kabla ya kuanza mchakato wa utungishaji, muandae mkeo na sio kumparamia. Hata kuku hufanya maandalizi. Maandalizi yapo mengi tu. Kuanzia kwenye mazungumzo yenu, vitendo nk.
Nakwambiaje, kuna wanaume wana vibamia lakini huwezi kuta wanalalamikiwa na wake zao. Sasa wewe jifanye gaidi na wakati una mapungufu! Ni hayo tu kwa sasa