Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Ripoti ya wiki hii imeanza kutoka mapema sana naona mpaka sasa bamia zimelalamikiwa sana kesho tusubirie wanaokojoa usahaWiki ya vibamia mpaka vikome, ndo unajikuta makundi yote umo arooo lazima upate makasiriko ovyo ovyo, hela huna, nguvu huna, kazi huna, mpenzi huna, kibami unacho, hasira zinamaliziwa kwa keyboard napo ukikutana na Kapeace anakupa nyundo za utosi teh teh teh
Lamomy