Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 3,003
- 8,385
Yeh brohakikisha unakua mnafiki
Hakuna ( One fits all formula ) ya kuishi na wanakwake do what make you all happy, leave the rest to God.Ndugu..
Kama unataka amani ukiwa na hawa viumbe hakikisha unakua mnafiki kwao.
Wewe kua mnafiki tuu utatoboa
Mfano wa huo unafikiYeh bro
Wengi hawatakuelewa
Ila kiukweli siria ya ndoa ya baba yako na mama ya miaka 40 ni kwa sababu baba ako aliamua kufanya hivi
Naunga mkono hojaUsimuonee mwanamke HURUMA.
Hawa wana lengo la kudogodesha wapenzi wanaopendanaKwanini kutumia unafki Kwani ndoa ni kuogopana 🤷🏽♀️ mi naona ukweli na uwazi ndiyo kitu muhimu
Jimbo limeshapata mwenyewe au nijitose nichukue fomu😊Kwanini kutumia unafki Kwani ndoa ni kuogopana 🤷🏽♀️ mi naona ukweli na uwazi ndiyo kitu muhimu
Jamani msitufanyie hivo 😂Ndugu..
Kama unataka amani ukiwa na hawa viumbe hakikisha unakua mnafiki kwao.
Wewe kua mnafiki tuu utatoboa
Umepita bila kupingwa, hata fomu usichukue mkuu😂Jimbo limeshapata mwenyewe au nijitose nichukue fomu😊
what a fantastic weekend😊Umepita bila kupingwa, hata fomu usichukue mkuu😂