Mwanaume ukitaka kuishi na mwanamke kwa amani, mnafikie

Kwanini kutumia unafki Kwani ndoa ni kuogopana mi naona ukweli na uwazi ndiyo kitu muhimu
mwanamke akikusoma akakuelewa anakuona jipya anakuona mwepes.

Unatakiwa usieleweke kwake ili aendelee kukuchunguza kwa kuona una kitu cha ziada unachojivunia.

Kwani mwanamke akigundua upo nayey tu, atareta kiburi nakuomba taraka.
Ila akidanganywa kuwa unamwanake unataka kumwoa, ile taraka ataiahilisha na atasema bado anampenda mmewe.
Kumbe kasikia tu mmew ana mwanamke tu
 
Usiwadanganyw sio wote wa ko hivyo mkuu, HAYANA muongozo
 
haya yakikukuta utaukumbuka huu uzi.

Mwanamke ni kama upepo hatabiliki anaweza kukuambia anakupenda na anakupenda kwa mda huo tu.
Kwahyo na mwanaume hutakiw kutabilika kwa mwanamke, uwe hueleweki.

Na kama ni wapenz akujue 25% tu, hzo zilizobak ahangaike kukufaham atakuona smart.
Ila ukiwa wazi kwake 100% kuna siku atakuona huna jipya.
 
Si unaachana nae kwani duniani hapa yupo peke yake
 
haya yakikukuta utaukumbuka huu uzi.

Mwanamke ni kama upepo hatabiliki anaweza kukuambia anakupenda na anakupenda kwa mda huo tu.
Kwahyo na mwanaume hutakiw kutabilika kwa mwanamke, uwe hueleweki.

Na kama ni wapenz akujue 25% tu, hzo zilizobak ahangaike kukufaham atakuona smart.
Ila ukiwa wazi kwake 100% kuna siku atakuona huna jipya.
Shida yetu si binadamu ni Moja tu Huwa tuna amini kila kilichoko mbele Yako na unakitaka basi una haki ya kukipata, bro ukitaka kuishi vizuri duniani na Kwa utulivu amini huna haki ya kupata kila unacho taka vingine wachia wengine endelea na safari mpaka pale MUNGU atapo kuchukua
 
kama ni hvo vijana hawata pambana kupata wanavyo vitaka kweny maisha yao, wasubiri wakati sahih wa Mungu.
 
Basi, mi na ushuhuda Nisha penda mpaka kumlilia mwanamke upo hapo? Nililia sana nikamwambia MUNGU huyu NAMPENDA nimuowe, ila MUNGU alikata Kwa kipindi hicho aliondoka huyo dada NAMI nikaendelea na maisha tena Kwa kumkumbuka, ila cha kushangaza Nisha msahau sasa na hata akirudi kwangu naweza mkataa nikataka huyu nae mpenda sasa, huyu nae mpenda sasa akzingua nikapata mwingine nae namsahau ndo kanuni ya maisha MUNGU ana watoto warembo wengi sana huwezi wamaliza muachie akuchagulie I enjoy maisha wewe, usifosi
 
Ukitaka uishi na mwanamke vizuri
1.Piga show ya kibabe sio kulambalamba
2.Uwe unampa pesa zisizo na maelezo(matumizi binafsi)
3.Mnunulie gari na mafuta na service juu yako
4.Mitoko ya ndani na nje ya nchi kwa sana hasa msimu wa likizo/mwisho wa mwaka.
 
Wew umesikia wapi??😂😂😂😂

Hayana muongozo mkuu.
Matajiri wangefaid mapenzi hapa dunian
 
Matajiri wengi wanalambalamba wapo bize sana na mishe zao.
Wengine nguvu za kupump hawana..)()((&+())(()
ni kweli, kwahyo hapo mapungufu yapo pande zote mbil kwa maskin hana mahitaji yakumpa mke na tajiri nae hana show ya kibabe kila siku.
 
Back
Top Bottom