marehem x
JF-Expert Member
- Dec 28, 2022
- 513
- 792
Ahaaa kumbe ni kuhusu jogoo aka mashine kukwea mtumbwi...Hello,
Sijui kwanini siwezi kuvumilia hiki kitu ,wewe unaweza kuona kawaida lakini kiukweli kwa upande wangu inaniboa. Mwanaume nikimuona hata kama awe smati vipi Halafu kavaa saa ya mkononi haisomi majira aisee
Badilikeni
Lkn mkuu umetumia tafsda ngumu kweli maana wanaume wengine saa ni simu zetu...got no time kuvaa saa.
Mabishoo wavaa saa ukiwataka utawapata.
Saa twavaa kwenye sherehe na matukio nk