Mwanaume ukiwa na kitu hiki hata kama handsome umenikosa

Mwanaume ukiwa na kitu hiki hata kama handsome umenikosa

Hello,

Sijui kwanini siwezi kuvumilia hiki kitu, wewe unaweza kuona kawaida lakini kiukweli kwa upande wangu inaniboa. Mwanaume nikimuona hata kama awe smati vipi Halafu kavaa saa ya mkononi haisomi majira aisee

Badilikeni
Sure sijui watu hawa hua wanawaza nini, kwamba anavaa kifaa cha kuonyesha muda na hakifanyi kazi hapa inadokeza mengi kuhusu mvaaji show off, mshamba, limbukeni, fukara nk.

Lakini pia na wewe nini kinakufanya uone unafaa "kupatwa" kwamba atakukosa. Hii inadokeza pia jinsi wanawake wengi hua wanajipa thamani ambayo hawana.

charrote Kama hauna nywele za singa, huna chura, sauti kama ya mjomba wako, kafupi nyundo, huna sexy lips, huna ngozi nyororo mololo, huna jicho la mahaba, macho kama mlinzi kama hata kigezo kimoja kimepungua nini kinakufanya uone unafaa kupatwa.

Yani unataka mwanaume anaevaa Rolex, Tissot, Cerruti, Orient akufate ashura ndara ndefu sura kama ya mwanaume, huna chura, vinywele kipilipili ?! Hebu kua serious. Hao wenye saa mbovu Seiko 1996 ndio daraja lako.

Tunapo taja vigezo vya wanaume tuwe pia tunataja vigezo na sifa za wanawake. Kuna kamwanamke nilikakuta ofisi fulani nilikwenda kupata huduma fulani wakawa wanapiga story wanawake watatu kakawa kanajigamba na wenzake ati "mimi mwanaume hana mahari ya 10 million sina muda nae. Kamwanamke kenyewe kabayaaaaa yani hata huwezi kukapa salamu.

20211010_160953.jpg

unaktuta ka charrote kenyewe ndio kama haka.
 
Hello,

Sijui kwanini siwezi kuvumilia hiki kitu, wewe unaweza kuona kawaida lakini kiukweli kwa upande wangu inaniboa. Mwanaume nikimuona hata kama awe smati vipi Halafu kavaa saa ya mkononi haisomi majira aisee

Badilikeni
Sasa kama ilisimama bila yeye kufahamu na ikatokea mmekutana akaanza kukupiga vocal bado utamkataa? Masharti kama babu wa Chumbe
 
Hello,

Sijui kwanini siwezi kuvumilia hiki kitu, wewe unaweza kuona kawaida lakini kiukweli kwa upande wangu inaniboa. Mwanaume nikimuona hata kama awe smati vipi Halafu kavaa saa ya mkononi haisomi majira aisee

Badilikeni
Saa hii ya mkononi au ni tafsida?
 
Back
Top Bottom