smarte_r
JF-Expert Member
- Nov 8, 2013
- 4,564
- 12,014
mimi demu mwenye wigi halafu linatoa harufu mbaya, hata awe mzuri vipi, baada ya "kumalizananae", lazima nimkimbie. simrudii tenaHello,
Sijui kwanini siwezi kuvumilia hiki kitu, wewe unaweza kuona kawaida lakini kiukweli kwa upande wangu inaniboa. Mwanaume nikimuona hata kama awe smati vipi Halafu kavaa saa ya mkononi haisomi majira aisee
Badilikeni
nipo very allergic na harufu mbaya za mawigi.