Mwanaume ukiwa na kitu hiki hata kama handsome umenikosa

Mwanaume ukiwa na kitu hiki hata kama handsome umenikosa

Nimevaa sana saa bosheni enzi hizo najitafuta!!!!😎😎🤣🤣🤣Masista duu bhana mna mbwembwe kila mnacomplicate mpaka saa🤣🤣🤣🤣🤣
Hello,

Sijui kwanini siwezi kuvumilia hiki kitu, wewe unaweza kuona kawaida lakini kiukweli kwa upande wangu inaniboa. Mwanaume nikimuona hata kama awe smati vipi Halafu kavaa saa ya mkononi haisomi majira aisee

Badilikeni
 
Tangu kuwepo kwa matumizi ya Simu za mkononi binafsi naona hitaji la matumizi ya saa za mkononi liliondoka kabisa.

Nikiwa na Simu napata kujua muda sasa kuvaa saa sababu labda iwe urembo vinginevyo ni kama kukariri maisha tu!
 
Mimi sionagi sana UMUHIMU wa kuvaa saa technology imeendelea sana saa ipo KWENYE simu tu ila Kwa wapenzi wa saa wacha wavae saa zisizo kuwa na majira ya muda husika
 
Mie ya kwangu huwa navaaga tu kama urembo hata sikumbuki kama bado inasoma majira nahisi iliishaga betri tangu mwaka 2015 hata mkanda wake ushapauka haijulikani kama ni gold, silver, au rangi ya ugoro.
 
Back
Top Bottom