Mwanaume ukiwa na kitu hiki hata kama handsome umenikosa

Mwanaume ukiwa na kitu hiki hata kama handsome umenikosa

Hello,

Sijui kwanini siwezi kuvumilia hiki kitu, wewe unaweza kuona kawaida lakini kiukweli kwa upande wangu inaniboa.

Mwanaume nikimuona hata kama awe smati vipi Halafu kavaa saa ya mkononi haisomi majira aisee

Badilikeni
Kwasababu tunasoma saa kwenye simu, asilimia kubwa watu wana vaa saa kama utanashati tu, na kwasababu huwezi kuvaa kitu kingine mkononi kitaonekana bangili, inabidi uvae tu hiyo saa, that's why we don't care kama inafanya kazi au la.

Kama hupendi mtu anayevaa saa isiyosoma, well, usiwe na shaka, tafuta anayevaa saa inasoma [emoji23]
 
Wale wa vijijini huku kitefu na Njani tunaangalia vivuli vyetu ili kujua wakati.Usitufokeee
 
Shida sio yeye sasa

Shida wewe ni mzee wa kucomplicate..

Sasa hiyo nayo unataka uweke kama kigezo Cha msingi kabisaaaa

Eti huwezi kunioAaaa sababu saa Yako haionyeshi majira sahihi..
 
Back
Top Bottom