Mwanaume ukiwa na kitu hiki hata kama handsome umenikosa

Mim
Hello,

Sijui kwanini siwezi kuvumilia hiki kitu, wewe unaweza kuona kawaida lakini kiukweli kwa upande wangu inaniboa.

Mwanaume nikimuona hata kama awe smati vipi Halafu kavaa saa ya mkononi haisomi majira aisee

Badilikeni
Mimi yangu imeisha betri juzi tu 😜😜
 
Hello,

Sijui kwanini siwezi kuvumilia hiki kitu, wewe unaweza kuona kawaida lakini kiukweli kwa upande wangu inaniboa.

Mwanaume nikimuona hata kama awe smati vipi Halafu kavaa saa ya mkononi haisomi majira aisee

Badilikeni
Una shida si bure walai.

Movie za kikorea zinakudanganya
 
Write your reply...Sasa wewe mtoa mada mapenzi na saa za mikononi wapi na wapi?

Utazeekea kwenu we endelea kuwa na hivyo vigezo vyako vya kisenge.

Wenzio wanatafuta loving & caring men wewe unaangalia saa za mikononi.Shauri yako.
 
Hello,

Sijui kwanini siwezi kuvumilia hiki kitu, wewe unaweza kuona kawaida lakini kiukweli kwa upande wangu inaniboa.

Mwanaume nikimuona hata kama awe smati vipi Halafu kavaa saa ya mkononi haisomi majira aisee

Badilikeni
Duhhhhh...🤣🤣🤣
Watu na fantasy zenu wallah....😜😜
Ebu nipanuilieni dunia mie..😋
 
Kuna jamaa wa kigeni (from Europe) anafanya utafiti hapa nchini. Amependa mfumo wa watu wa vijijini wanaotumia Jogoo, Mwezi na Jua katika kusoma muda. Wewe kaa na saa zako hizo.
 
Hello,

Sijui kwanini siwezi kuvumilia hiki kitu, wewe unaweza kuona kawaida lakini kiukweli kwa upande wangu inaniboa.

Mwanaume nikimuona hata kama awe smati vipi Halafu kavaa saa ya mkononi haisomi majira aisee

Badilikeni
Wanawake wa vijijini ni bora zaidi kuliko wa mjini.
 
Back
Top Bottom