Mwanaume ukiwa na kitu hiki hata kama handsome umenikosa

Mwanaume ukiwa na kitu hiki hata kama handsome umenikosa

Hello,

Sijui kwanini siwezi kuvumilia hiki kitu, wewe unaweza kuona kawaida lakini kiukweli kwa upande wangu inaniboa.

Mwanaume nikimuona hata kama awe smati vipi Halafu kavaa saa ya mkononi haisomi majira aisee

Badilikeni
Babe....
Achana na hao wenye saa mbovu, mimi sivai na sina saa kabisaa....👐
 
Hello,

Sijui kwanini siwezi kuvumilia hiki kitu, wewe unaweza kuona kawaida lakini kiukweli kwa upande wangu inaniboa.

Mwanaume nikimuona hata kama awe smati vipi Halafu kavaa saa ya mkononi haisomi majira aisee

Badilikeni
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] falafu kweli mumie
 
Hello,

Sijui kwanini siwezi kuvumilia hiki kitu, wewe unaweza kuona kawaida lakini kiukweli kwa upande wangu inaniboa.

Mwanaume nikimuona hata kama awe smati vipi Halafu kavaa saa ya mkononi haisomi majira aisee

Badilikeni

Unafikiri ma-handsome boy wanakutaka Basi😊😊
Wewe ndio unajigonga kwao na unahitaji kunufaika Kutoka kwao, Ila wao hakuna watakachokipata kwako
 
Watu wanatofautiana Sana.
ATI mtu anaweza asimpende MTU Kwa sababu ya Kiatu au saa ambayo inaweza Kubadilishwa muda wowote.

Ni Sawa na Mwanaume aseme ATI anampenda Mwanamke kisa msuko fulani🤣🤣🤣
Jambo ambalo linaweza kufanyika muda wowote.

Zinaitwa Akili za kitoto
Sure hapa JF tunakufatilia Sana.
 
Mimi sipo huko .
Kusema kweli tokea nimeanza kutumia Simu sijawahi kuvaa saa ya mkononi.
Saa yangu ni simu
 
Mimi sipo huko .
Kusema kweli tokea nimeanza kutumia Simu sijawahi kuvaa saa ya mkononi.
Saa yangu ni simu

Hata mimi aisee!

Naona kuendelea kuvaa saa ni kukariri tu bila kuelewa.

Vinginevyo labda Kwa wale wanovaa kama urembo na ikiwa hivyo sio lazima iwe na majira!
 
Mleta mada uko shida ya Immaturity,

I am sorry to say that!

Once ukija kuwa matured enough (off course through learning things) utakuja kujua kufaa Kwa Mwanaume ni zaidi ya u-handsome na hizi childish issues zako!
 
Back
Top Bottom