Ahaaa kumbe ni kuhusu jogoo aka mashine kukwea mtumbwi...Hello,
Sijui kwanini siwezi kuvumilia hiki kitu ,wewe unaweza kuona kawaida lakini kiukweli kwa upande wangu inaniboa. Mwanaume nikimuona hata kama awe smati vipi Halafu kavaa saa ya mkononi haisomi majira aisee
Badilikeni
Weka location maeneo unayopatikana ule vichwa wengi saa zao zinakuwa na majira bahati mbaya tu kwa unayemuona saa haina majira.Saa isome tu majira
Vipi na mimi nisiyevaa hiyo saa ya mkononi! Na badala yake natumia tu saa ya kwenye simu! Nitakupata?Hello,
Sijui kwanini siwezi kuvumilia hiki kitu, wewe unaweza kuona kawaida lakini kiukweli kwa upande wangu inaniboa. Mwanaume nikimuona hata kama awe smati vipi Halafu kavaa saa ya mkononi haisomi majira aisee
Badilikeni
Ndio saa hizo hizo nazungumzia. View attachment 2501613
Si ni kama baadhi ya wanaume wanaodai mwanamke akivaa kikuku, au kipini puani wanaishiwa hamu. Na yeye hataki wanaovaa saa makopo.You're such a cheap going woman.
Kwahiyo wewe thamani yako ni saa tu inayosoma majira na unapanua mapaja?
Ama kweli wanawake hamjui mnachokitaka na mwalimu wenu ni kipofu.
Si ni kama baadhi ya wanaume wanaodai mwanamke akivaa kikuku, au kipini puani wanaishiwa hamu. Na yeye hataki wanaovaa saa makopo.
Sent using Jamii Forums mobile app
sawaA minute
Hello,
Sijui kwanini siwezi kuvumilia hiki kitu, wewe unaweza kuona kawaida lakini kiukweli kwa upande wangu inaniboa. Mwanaume nikimuona hata kama awe smati vipi Halafu kavaa saa ya mkononi haisomi majira aisee
Badilikeni