MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 5,824
- 14,757
Ugonile,
kabla sijaendelea wale wa 50/50 hapa sio pahala pake.
Binafsi sijaoa ivyo sitojikita sana kwenye mambo ya ndoa ingawa nmeishi na wanawake tofauti tofauti kwa nyakati tofauti na mpaka sasa ndo utaratibu wangu.
kwa jinsi tulivyoumbwa ni wazi mwanaume ni kichwa cha Familia huku mwanamke akiwa msaidizi na kiungo muhimu sana katika Familia, kiufupi mwanaume bila mwanamke hajakamilika.
Kwa utafiti wangu mdogo nimekuja kugundua wanawake ni viumbe wenye akili sana kushinda sisi wanaume isipokua tu wao ni rahisi sana kuzima ubongo na kuwasha hisia kwenye mambo mengi yanayoitaji kushirikisha ubongo na hapo ndipo wanaume huwa tunawazidi kete.
Turudi kwenye mada yetu sasa
Binafsi nimefanya sana kazi mahakamani na ofisi za wanasheria kabla ya kuibukia pande zingine za kutafuta rizki ivyo nmeshuhudia kesi nyingi za wanandoa. 99% ya izo kesi washitaki walikua ni wanawake.
Katika izo kesi niligundua wanandoa walikua wameoana, kwa maana ya kwamba 50/50 ndo ilikua nguzo ya izo ndoa.
Kama wewe ni mwanaume umeoa mwanamke na huyo mwanamke ni muumini wa 50/50 nakuhakikishia ni suala la muda utatoka kwenye usingizi mzito punde tu nature itapoanza kufanya kazi. Kwa kuwa saiv bado unampenda mkeo pamoja na kuwa huwa anakufulisha nguo, kukupikisha na kulea watoto kwa kivuli cha kusaidizana majukumu ilhali linapokuja swala la Cash wewe ndo ATM basi iyo ndoa siku zake zinahesabika.
Wanawake ni watu wa fursa, hawaingii kwenye ndoa kwa mapenzi yao kwako bali kwa ajili ya manufaa yao ivyo hakikisha kila mtu anaplay part yake.
Punguza mazoea na mkeo,
Imagine mwanaume umeoa halafu mmepangiana zamu ya kupika na mkeo, mara unajifulia, umepangiwa ratiba ya kurudi kwako, mwanamke lazima tu akudharau hata tendo la ndoa atakupangia ratiba, weka mipaka.
sitaki kusema kuwa zaamani Baba zetu walikua wanaoa ndio maana ndoa zao zilidumu ila kama Mwanaume hakikisha unaoa ili mkeo asikudharau sio mnaoana mwishowe mnaanza kutushauri ambao hatujaoa tusiingie kwenye ndoa.!!