Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Wanawake saikolojia yetu inapenda sana kupewa attention, ili ujione nawe umo Basi Ni ile hali ya kutongozwa kutamaniwa machoni kwa wanaume, na hii inawazuzua sana wanawake wenye umri mdogo,, hivyo Basi km mume ndani hafanyi hizo mambo za kusherehesha mahaba(wenyewe mnasema kuwa romantic) mke akitoka nje akakonyezwa tu analowa na kuliwa fastaa,