Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Mwanamke anayechepuka kwa sababu ya kubadili ladha anakuwa na hulka ya umalaya,Hamna kitu kama hiko kwamba ukimpa mkeo attention ndio hata cheat huu ni uongo ambao wanaume wengi wamepigwa wanabaki kusema hawa viumbe wanataka nini ?
Jibu ni moja wanawake nao hutamani na hupenda kubadilisha wanaume bila sababu ya msingi kama sisi wanaume tufanyavyo ila hizo sababu za humridhishi mara hauko romantiki nendeni mkawadaganye wanaume wenye IQ ya kuku
Tunachepuka kwa kusababishiwa, niamini ukimpa mwanamke wako attention yako uwezekano wa kucheat Ni mdogo Sana au haupo kabisa,
Umenisikia wewe mwenye IQ ya bata