Mwanaume uliyepo ndani ya ndoa kama huchezi mechi za nje eti kisa heshima kwa mkeo jitafakari mara mbili

Mwanaume uliyepo ndani ya ndoa kama huchezi mechi za nje eti kisa heshima kwa mkeo jitafakari mara mbili

Sio kwa muktadha huo mkuu, kwenye suala zima la ngono ndgu yangu tumewaacha mbali sana. Japokua anatafutwa na wengi ila anawakubali wachache na kusex na wachache vile vile mwanaume anatafuta wengi kwa mbinde na kugegeda wengi vile vile. Mwanaume kamili anaweza kugegeda hata madem 3 kwa siku kwa nyakati tofauti, ni wanawake wachache wenye uwezo huo. Hisia za mwanamke ziko mbali mkuu sisi ukiona titi imoo.

Wanaweza kuwa na hulka izo za kua viruka njia, ila yote kwa yote wanaume ni zaid ndgu yangu ndio maana wanajiuza na tunawanunua, ushawai ona mwanaume anajiuza [emoji23][emoji23]
Hivi we jamaa unawaongelea wanawake gani.....?
 
Dunia sphere mi nishazoea hapa kazini mpaka naona aibu. Nimeshakula wake za watu 4 na bado kuna foleni ya wanaotaka. Yaani ukifikiri sana haya mambo kuoa itakuwa ngumu lakini haina budi.
Watu wanabishia hadi shuhuda
 
Wanawake saikolojia yetu inapenda sana kupewa attention, ili ujione nawe umo Basi Ni ile hali ya kutongozwa kutamaniwa machoni kwa wanaume, na hii inawazuzua sana wanawake wenye umri mdogo,, hivyo Basi km mume ndani hafanyi hizo mambo za kusherehesha mahaba(wenyewe mnasema kuwa romantic) mke akitoka nje akakonyezwa tu analowa na kuliwa fastaa,
Analoa nini??
 
Sio watu wanajiona mashujaa Kula wake za watu ...ila hapa wanaume tunawekana sawa ...maana Kuna wanaume wenzetu wapo ndani ya ndoa wanajinyima na kujizuia Kula mema ya nchi kisa kuwalindia heshima wake zao . Kumbe wake zao wapo busy kutembeza vitumbua vyao
Hilo si tatizo pia. Kama anafurahia maisha kwa kuwa mwaminifu acha awe regadless ya umalaya wa mkewe.
Maisha mafupi, Enjoy.
Fanya unaloona linakupa raha na usitake raha zako ziwe raha za mwingine.
 
Wanawake saikolojia yetu inapenda sana kupewa attention, ili ujione nawe umo Basi Ni ile hali ya kutongozwa kutamaniwa machoni kwa wanaume, na hii inawazuzua sana wanawake wenye umri mdogo,, hivyo Basi km mume ndani hafanyi hizo mambo za kusherehesha mahaba(wenyewe mnasema kuwa romantic) mke akitoka nje akakonyezwa tu analowa na kuliwa fastaa,
"Analowa na kuliwa fasta"...rafiki hatari sana hii!!!
 
Back
Top Bottom