Mwanaume umri 30+ kama hajaoa ni Poyoyo na Mwanamke ambae hajaolewa 27+ ni Malaya

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Shalom,
Ukweli ni dawa na acha tuwape dose, mwanaume akiwa akiwa na kazi rasmi na umri 30+ years kama hajaoa huyo ni Poyoyo na Mwanamke ambae hajaolewa umri wa 27+ years huyo ni Malaya.

Sina Cha kuongeza ukibisha aidha ni Poyoyo au Malaya.

Ni hayo tu
Shukrani

Wadiz
 
Moja ya alama ya jamii zenye umasikini wa hali na mali ni tabia ya kufuatiliana sana kwenye maisha binafsi na faragha za watu.
 
The last time I checked unto our village's diary;It was written that..."life starts at forty"..!Je,ni waongo?
NB;Vijana msiishi kihuni.Muoe na wenye kuolewa msiweke "masharaiti" salasini na tisa.
 
20240713_031020.jpg
 
Moja ya alama ya jamii zenye umasikini wa hali na mali ni tabia ya kufuatiliana sana kwenye maisha binafsi na faragha za watu.
Kwa hiyo unashabikia uhuni?Hutaki watu wawe ndoani.Halafu,kwani mtu akiwa kwenye ndoa inajificha?Vilevile,usiandike kwa kujishtukia.Mleta sledi katoa angalizo na wala hajamtaja mtu wala kumtolea mfano.
 
Shalom,
Ukweli ni dawa na acha tuwape dose, mwanaume akiwa akiwa na kazi rasmi na umri 30+ years kama hajaoa huyo ni Poyoyo na Mwanamke ambae hajaolewa umri wa 27+ years huyo ni Malaya.

Sina Cha kuongeza ukibisha aidha ni Poyoyo au Malaya.

Ni hayo tu
Shukrani

Wadiz
Hata mtuite majina yote wala hatutooa ng'o, ila tutaendelea Kuwabandulieni Wake zenu hadi pale Dunia itakapogeuka.
 
Kukariri umri wa kuoa/kuolewa ndio sababu kubwa ya masingle mama mitaani na mitoto isiokuwa na baba.

Ndoa haina formula ya umri. Sasa force kuoa kwa shinikizo la mtazamo wa jamii uje kuita maji mma.
 
Kukariri umri wa kuoa/kuelewa ndio sababu kubwa ya masingle mama mitaani na mitoto asiokuwa na baba.

Ndoa haina formula ya umri. Sasa force kuoa kwa shinikizo la mtazamo wa jamii uje kuita maji mma.
Wanapewa angalizo lenye himizo ndani yake ili wajitambue.Na sledi imeainisha "kwa mwenye uwezo" huo.Vijana wa kileo wakidekezwa na kuishi bila majukumu wanakuwa mazezeta sana.
 
Shalom,
Ukweli ni dawa na acha tuwape dose, mwanaume akiwa akiwa na kazi rasmi na umri 30+ years kama hajaoa huyo ni Poyoyo na Mwanamke ambae hajaolewa umri wa 27+ years huyo ni Malaya.

Sina Cha kuongeza ukibisha aidha ni Poyoyo au Malaya.

Ni hayo tu
Shukrani

Wadiz
Walokole mnaoa mapema kwa sababu ni madomo zege..
Mnazuga kukwepa uzinzi ilhali mnapewa wanawake wa kuoa na wachungaji, kujifanya mmefunuliwa na bwana..
😃
 
Back
Top Bottom