Mwanaume umri 30+ kama hajaoa ni Poyoyo na Mwanamke ambae hajaolewa 27+ ni Malaya

Mwanaume umri 30+ kama hajaoa ni Poyoyo na Mwanamke ambae hajaolewa 27+ ni Malaya

Screenshot_20240717-170822_Gallery.jpg
 
Shalom,
Ukweli ni dawa na acha tuwape dose, mwanaume akiwa akiwa na kazi rasmi na umri 30+ years kama hajaoa huyo ni Poyoyo na Mwanamke ambae hajaolewa umri wa 27+ years huyo ni Malaya.

Sina Cha kuongeza ukibisha aidha ni Poyoyo au Malaya.

Ni hayo tu
Shukrani

Wadiz
Wacha dharau hizo wewe dogo, wewe kama umekimbilia kuoa una shida hujui kutongoza au huna fedha , tuache wenye meno tutafune mifupa kwanza.
 
bilashaka ndoa nayo ni sehemu ya raslimali kwa watu kujivunia hadi kutaka kuwakera wenye mambo muhimu ya kufanya, sivyo ndugu mleta mada?
 
Ni masikini tu ndo huwa akili na fikra zao wamezielekeza sana kwenye masuala ya kuoa na kuolewa.
 
Shalom,
Ukweli ni dawa na acha tuwape dose, mwanaume akiwa akiwa na kazi rasmi na umri 30+ years kama hajaoa huyo ni Poyoyo na Mwanamke ambae hajaolewa umri wa 27+ years huyo ni Malaya.

Sina Cha kuongeza ukibisha aidha ni Poyoyo au Malaya.

Ni hayo tu
Shukrani

Wadiz

Umepiga kwenye mshono.
 
Back
Top Bottom