Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Moja ya alama ya jamii zenye umasikini wa hali na mali ni tabia ya kufuatiliana sana kwenye maisha binafsi na faragha za watu.Shalom,
Ukweli ni dawa na acha tuwape dose, mwanaume akiwa akiwa na kazi rasmi na umri 30+ years kama hajaoa huyo ni Poyoyo na Mwanamke ambae hajaolewa umri wa 27+ years huyo ni Malaya.
Sina Cha kuongeza ukibisha aidha ni Poyoyo au Malaya.
Ni hayo tu
Shukrani
Wadiz
The last time I checked unto our village's diary;It was written that..."life starts at forty"..!Je,ni waongo?Shalom,
Ukweli ni dawa na acha tuwape dose, mwanaume akiwa akiwa na kazi rasmi na umri 30+ years kama hajaoa huyo ni Poyoyo na Mwanamke ambae hajaolewa umri wa 27+ years huyo ni Malaya.
Sina Cha kuongeza ukibisha aidha ni Poyoyo au Malaya.
Ni hayo tu
Shukrani
Wadiz
Hili ni tatizo kubwaMoja ya alama ya jamii zenye umasikini wa hali na mali ni tabia ya kufuatiliana sana kwenye maisha binafsi na faragha za watu.
Kwa hiyo unashabikia uhuni?Hutaki watu wawe ndoani.Halafu,kwani mtu akiwa kwenye ndoa inajificha?Vilevile,usiandike kwa kujishtukia.Mleta sledi katoa angalizo na wala hajamtaja mtu wala kumtolea mfano.Moja ya alama ya jamii zenye umasikini wa hali na mali ni tabia ya kufuatiliana sana kwenye maisha binafsi na faragha za watu.
Hata mtuite majina yote wala hatutooa ng'o, ila tutaendelea Kuwabandulieni Wake zenu hadi pale Dunia itakapogeuka.Shalom,
Ukweli ni dawa na acha tuwape dose, mwanaume akiwa akiwa na kazi rasmi na umri 30+ years kama hajaoa huyo ni Poyoyo na Mwanamke ambae hajaolewa umri wa 27+ years huyo ni Malaya.
Sina Cha kuongeza ukibisha aidha ni Poyoyo au Malaya.
Ni hayo tu
Shukrani
Wadiz
Wanapewa angalizo lenye himizo ndani yake ili wajitambue.Na sledi imeainisha "kwa mwenye uwezo" huo.Vijana wa kileo wakidekezwa na kuishi bila majukumu wanakuwa mazezeta sana.Kukariri umri wa kuoa/kuelewa ndio sababu kubwa ya masingle mama mitaani na mitoto asiokuwa na baba.
Ndoa haina formula ya umri. Sasa force kuoa kwa shinikizo la mtazamo wa jamii uje kuita maji mma.
Walokole mnaoa mapema kwa sababu ni madomo zege..Shalom,
Ukweli ni dawa na acha tuwape dose, mwanaume akiwa akiwa na kazi rasmi na umri 30+ years kama hajaoa huyo ni Poyoyo na Mwanamke ambae hajaolewa umri wa 27+ years huyo ni Malaya.
Sina Cha kuongeza ukibisha aidha ni Poyoyo au Malaya.
Ni hayo tu
Shukrani
Wadiz
Kipindi hicho huyo bwana mfunuaji anakuwa huyo huyo mchungaji.mmefunuliwa na bwana..
Akili za kushikiwa.. taabu tupu..Kipindi hicho huyo bwana mfunuaji anakuwa huyo huyo mchungaji.
Walokole wanamuheshimu mchungaji kuliko hata mume. Na wachungaji wanawatafuna hasa.