Mwanaume umri 30+ kama hajaoa ni Poyoyo na Mwanamke ambae hajaolewa 27+ ni Malaya

Samahani baba yako mzazi sio huyo uliyetambulishwa na mama yako unajua anamiaka mingapi? Umewahi kumuuliza kwanini hajaoa anazaa na wake za watu au hauna namba yake nikugee...
 
Wacha dharau hizo wewe dogo, wewe kama umekimbilia kuoa una shida hujui kutongoza au huna fedha , tuache wenye meno tutafune mifupa kwanza.
 
bilashaka ndoa nayo ni sehemu ya raslimali kwa watu kujivunia hadi kutaka kuwakera wenye mambo muhimu ya kufanya, sivyo ndugu mleta mada?
 
Ni masikini tu ndo huwa akili na fikra zao wamezielekeza sana kwenye masuala ya kuoa na kuolewa.
 

Umepiga kwenye mshono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…