Mwanaume umri 30+ kama hajaoa ni Poyoyo na Mwanamke ambae hajaolewa 27+ ni Malaya

Hivi kuoa au kuolewa ni lazima!?
 
Mleta mada sisi sio milima tutakutana na mkeo tuh na Uzi wa kimasihara utahusika
 
Mapoyoyo wote ndio rafk zangu
 

Ukiona post kama hizi jua tu, ni madhara ya kuvipa vitoto vya Kidato cha pili simu.
Hivi vitoto vikibalehe vinajiona vinajua kila kitu, ILA baadae akikua, atagundua alipost upuuzi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…