Mwanaume una mguu laini, unavaa pensi. Unataka tukuelewe vipi?

Mwanaume una mguu laini, unavaa pensi. Unataka tukuelewe vipi?

Mwanaume rijali kama mimi mguu umekomaa na una nywele kibao ziwezi kuvaa pensi
Huvai kwasababu ya mguu kukomaa kumbee,binafsi navaa pensi lakini sio vile vipensi vinavyoishia mapajani.

Sasa sijui ushoga uko wapi hapo labda udadavue.
 
Kwahiyo huu wangu nao wa kishoga?? Duh
07d30a36046d4f464b3444d193454a50.jpg
Na huku juu mapajani ni matetekuwanga au matone ya maji?
 
Siku hizi kuna ongezeko la wanaume kuvaa pensi fupi

Unakuta msela ana guu la bia halafu laini hata kovu hana anavaa pensi ujue anaonekana kama shoga

Mwanaume rijali kama mimi mguu umekomaa na una nywele kibao ziwezi kuvaa pensi

Nyie masela mnaovaa pensi mbele ya kadamnasi na hiyo miguu yenu soft mnatuaibisha wanaume wenzenu mnakua kama mashoga bhana .[emoji41] [emoji41] [emoji41]
Mkuu bora umeliona hilo,mwanaume kweli huonyesha uwezo wake kiumeni sio barabarani
 
Mzee acha tuvae tu pensi maana Dada zenu wanahusudu sana kuiona miguu yetu laivulaivu ikivyo sexy.

Wewe kama unavinyweleo kama katuni za bwana chezo huku kigimbi kimekujaa kama umefunga Gunzi kwenye mguu au betri la tiger niseme tu pambana na hali yako maana ni dhahiri pensi unatamani kuvaa ila miguu yako sio rafiki.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahahahaha
Halaf miguu ming ina vinyweleo loo
 
Back
Top Bottom