Mwanaume una mguu laini, unavaa pensi. Unataka tukuelewe vipi?

Mwanaume una mguu laini, unavaa pensi. Unataka tukuelewe vipi?

Dah kweli leo nimecheka leo.kuwa mlaini inategemea unafanya kazi gani wanaume wote hawawezi fanana
 
Wewe tatizo una Mental Disorder inayoitwa Obsessive-Compulsive Disorder (OCD)

The fear of being gay...kwahiyo unaamini mtu akiwa na morphology au mlaini basi ni shoga

Ushoga ni tabia ambayo mtu anaamua kuwa nayo tu kwa makusudi na sio suala la mavazi au muonekano sababu kuna wengine mazingira na utamaduni vimewaathiri hivyo katika jamii nyingine kuonekana ni shoga

Mfano, zamani watu wengi wa mwambao wa pwani walionekana hivyo kutokana na lafudhi yao hasa watu wa Tanga kuna jamaa mmoja tulivyokutana kwa mara ya kwanza wengi tulihisi ni shoga lakini tulivyozidi kukaa naye ndio tukagundua ni utamaduni tu wakuonge kwa kujidai ambao watu wengi wa pwani wanao (ustaarabu)

Ukiwa Scotland sketi ni vazi la heshima sana lakini ukija Bongo sidhani kama watu watakuelewa

Kuna baunsa mmoja ni shoga maarufu sana huko pande za magomeni
 
Back
Top Bottom