fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
hakuna cha ajabuSiku hizi kuna ongezeko la wanaume kuvaa pensi fupi
Unakuta msela ana guu la bia halafu laini hata kovu hana anavaa pensi ujue anaonekana kama shoga
Mwanaume rijali kama mimi mguu umekomaa na una nywele kibao ziwezi kuvaa pensi
Nyie masela mnaovaa pensi mbele ya kadamnasi na hiyo miguu yenu soft mnatuaibisha wanaume wenzenu mnakua kama mashoga bhana .[emoji41] [emoji41] [emoji41]