Mwanaume una mguu laini, unavaa pensi. Unataka tukuelewe vipi?

Hatari sana ..yaani nimechaka kwa sauti

Basi na mimi natuma maana vyuma vyenyewe vimekaza...
 
Aisee mkuu japo ww ni mwanaume mwenzangu lkn siwezi lala na ww kitanda kimojaa [emoji13][emoji39]

Huyu jamaa amefanya fujo sana mimi nimeshindwa kuhamisha macho kwenye vinyweleo nimejikuta nazoom labda nitaona kwa juu kidogooo[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
 
Mtu mwenye akili timamu anajua kuwa binadamu huumbwa na Mungu hivyo alivyo.Watu wenye mtindio wa ubongo huchunguza sana maisha ya wanaume wengine na kusahau kuwa wao wana maisha vao wanayotakiwa kuyashughulikia.
 
Hali inakoelekea hata thread za vibamia zitaanza kupata picha, watu wataweka dushe zao kuthibitisha sio vibamia weraaaa weraaaa can't wait for the day!!!!!!!

Ehehehehehehe weee mwana weee [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Bro mlaumu muumba aliyekuumba na miguu myembamba kama spoko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…