Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Au sioKwann niseme ivo...papo kwa hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au sioKwann niseme ivo...papo kwa hapo
Mkuu, ofa kama hizi tuwe tunatafutana PM, nakuja kujiegesha kwenye hiyo bar, nasubiri ulewe,ucheze nikusifie! Ili nipige maji ya kutosha na kilinda mfuko pembeni!Mkuu ,siku ya jumanne ,ambayo ilikuwa siku ya idd nilitoka zangu kwenda kwenye kibaa fulani maarufu mtaani kwetu
Mfukoni Nina laki na ishirini,lengo tukapige chupa mbili tatu Mimi na mshikaji wangu mmoja tu.
Basi, kuanzia saa kumi na moja to kumi na mbili vyombo vikaanza kukolea
Mara huyo nikaanza kucheza wimbo wa msanii Rema uitwao calm down
Baa nzima wakaanza kunipigia makofi
Na Mimi udhaifu wangu nikisifiwa tu basi Hilo wengi wanaonifahamu Hawapati taabu
Wanajua muda si mrefu Nini kitatokea hasa ukizingatia mtaani kwangu Mimi nipo kwenye kumi bora
Nikaona Sina Cha kuwalipa zaidi ya kuwapiga maji ,kwa sauti nikawaambia wahudumu walete vinywaji kwa kila mtu.
Nikatoka nje nikatoa kilo tano kwenye simu,kitendo cha kurudi nakuta watu wengi kumbe wanapigiana simu dah!!!!!!
Hadi natoka usiku wa saa sita usiku nikawa nadaiwa 40k yaani
120,000+500,000=620,000+40,000=
660,000/=
Na kesi na mke wangu imeisha jioni hii kwa kunilaumu kutumia pesa vibaya ilhali maisha yetu ni ya kipato Cha chini
Lakini kesi nimeshinda kwa kumpoza na 300k na Ahadi kibao
Tatizo mnamiliki magari kabla ya muda wenu,au kwa sifa uonekane una gari
Kwa nini utafute mbovu, wakati wapo wengiJF hakuna Pisi Mbovu. Zote kali kwenye Masimulizi
Watembeze kahawa vijana.Wikiend iliyopita, nilikuwa nimejichokea kiaina; nikaona bora niende zangu 'club' moja ya karibu angalau nipate kinywaji kidogo, huku nikiburudika na mziki pamoja na kuosha macho kwa watoto wazuri.
Baada ya kuingia club, mhudumu akaniongoza mpaka kwenye meza moja ambayo haikuwa na mtu; nikamwagiza kinywaji changu, na kumsisitiza anihudumie mpaka mwisho nitakapoondoka pale ukumbini.
Ilikuwa mida ya saa nne usiku, watu wanazidi kuingia na mambo ya ukumbini yanazidi kufana vizuri. Watoto waliopiga pamba kali, viuno vya nyugwi n.k wakazidi kupendezesha ukumbi.
Kwa wastani tu; warembo walikuwa wengi sana, na walikuwa wazuri. Ni wewe tu, na makali ya meno yako.
Imefika saa sita usiku pombe ikawa imeniingia vizuri kichwani, hakuna kuona aibu. Nilishangaa nimegeuka nyuma yangu, nikaona bonge la kifaa 'my type', nikajikuta nimepata ujasiri wa kumshika mkono na kumvuta karibu na meza niliyokuwepo.
Nikashika kiganja cha mkono wake na kukiweka kifuani kwangu, na kuanza kumpa sifa za hapa na pale. Baadaye nika-kiss kiganja chake, nikamwita aliyekuwa ananihudumia alete kiti kingine, na aongeze vinywaji.
Tukaanza kufahamiana, yeye ni mke wa mtu na ameajiriwa wizara R na kwa sasa yupo masomoni, hapa mkoani. Nikamwambia hakuna matata, tutakuwa tunapeana kampani pale inapobidi.
Ghafla DJ akapiga mziki wa msanii K-Ci & jojo, nikajikuta namwinua mtoto tukaanza kucheza 'zero distance' huku akikizungusha kiuno taratibu bila kuchezesha kifua. Dah... wakubwa wanafaidi sana wakuu.
Sijakaa sawa, midomo ikawa inawasiliana kwa nguvu ya sumaku; muhudumu naye analeta tu vinywaji huku naye akiwa anajihudumia.
Kuja kucheki kwenye 'wallet' pesa imekata, na kuondoka ukumbini nikalale siwezi; ikabidi nimwambie mrembo nisindikize 'home' nikaongeze mpunga.
Ikabidi niwaage mabaunsa pale mlangoni, ninarudi; ili wasinichaji gharama zingine za kiingilio.
Baada ya kufika 'home' nikamuacha mrembo sebuleni, nakwenda chumbani kwangu na kuchukua salio kidogo.
Sikupenda kuwa na papara ya kumtaka kimapenzi hapo 'home', nilitaka ajue hivyo vitu sio vigeni kwangu.
Tukarudi 'club'; baada ya kufika tukaendelea na vinywaji mpaka kwenye saa kumi usiku; baada ya hapo tukaagana na akaniahidi, atanitunuku wiki ijayo tukishafahamiana zaidi.
Nikajibu, ok hakuna tatizo.
Nilipofika nyumbani, nikajitafakari; nikaona wiki ijayo mbali, ikabidi nijifanye ninaumwa.
Palipokucha, majira ya saa nne asubuhi, nampigia simu, kumjulisha hali yangu si nzuri kutokana na uchovu wa mkesha. Namuomba aje anijulie hali nyumbani; naye akanijibu, atakuja mida ya jioni.
Kufika mida ya saa moja usiku, mtoto huyu hapa anagonga mlango. Nikamkaribisha, nikampa 'wine' kidogo huku akiwa amekaa kwenye sofa.
Tukawa tunapiga stori huku tukiendelea kupata kinywaji chetu, pamoja na kusikiliza mziki wa taratibu.
Baada ya muda, nikamsogelea kwenye sofa alilokuwa amekaa, na mambo mengine yakaanza kuendelea.
Kuja kushtuka tupo chumbani; Yale mambo ya wiki ijayo yakawa yametimizwa ndani ya siku moja.
Kwa sasa tunaitana 'honey'
Hapa ndipo ninapouamini ule msemo wa "mwanamke hufanya maamuzi ya kufanya ama kutofanya mapenzi nawe kwa mara ya kwanza tu mnapoonana"Hongera kwa kuitwa honey mkuu
Bila kusahau kupewa mbususu mapema…
Hapa ndipo ninapouamini ule msemo wa "mwanamke hufanya maamuzi ya kufanya ama kutofanya mapenzi nawe kwa mara ya kwanza tu mnapoonana"
Hata kama angeliamua kumchakata usiku ule, angekula vizuri tu! Yanini kupotezeana muda?
[emoji23][emoji23][emoji23]Exactly….
Kama nimekuelewa ya nini mieee kujibana
😂😂😂inawezekana ulikuwa ni wewe, nikiangalia hiyo miguuHongera kwa kuitwa honey mkuu
Bila kusahau kupewa mbususu mapema…
Kwa hesabu zangu za haraka haraka mbona week hii sijampa mtu mbususu mkuu😆😆😆😂😂😂inawezekana ulikuwa ni wewe, nikiangalia hiyo miguu
😂😂😂We ndio unajua ukweli mkuuKwa hesabu zangu za haraka haraka mbona week hii sijampa mtu mbususu mkuu😆😆😆
[emoji23][emoji23][emoji23]We ndio unajua ukweli mkuu
SawaYa nini nidanganye sasa jaman[emoji38][emoji38][emoji38]
Chukua Marriage-Scanner halafu mscan ujiridhishe kama kweli ni Mke wa mtu?Wikiend iliyopita, nilikuwa nimejichokea kiaina; nikaona bora niende zangu 'club' moja ya karibu angalau nipate kinywaji kidogo, huku nikiburudika na mziki pamoja na kuosha macho kwa watoto wazuri.