Mwanaume una njia zote za kufupisha ahadi ya mpenzi wako, kama utaamua

Mwanaume una njia zote za kufupisha ahadi ya mpenzi wako, kama utaamua

Sikutoa posho mkuu; ningefanya hivyo ningekuwa nimemnunua
Hapana,
Posho Ni muhimu mkuu,
Mwanamke kumla afu umeache mikono mitupu haijakaa sawa hata kidg

Ungemwachia ata elf 5 tu ya sabuni, inatosha. Sio umuache patupu kabisa.
 
Hapana,
Posho Ni muhimu mkuu,
Mwanamke kumla afu umeache mikono mitupu haijakaa sawa hata kidg

Ungemwachia ata elf 5 tu ya sabuni, inatosha. Sio umuache patupu kabisa.
Sikutaka kufanya hivyo mkuu; kwa sababu nataka nidumu naye kwa muda fulani ambapo atanufaika zaidi ya hivyo, kama atakuwa mvumilivu kwa muda. Kutanguliza malipo, kutasababisha kupata mtu 'fake' ambaye hisia zake zitakuwa zinapelekeshwa na malipo.
 
Back
Top Bottom